Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

bahiscom

betgit

betgaranti

grandpashabet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

betplay

Hacklink panel

pokerklas

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betzula

betzula giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betzula

betzula giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

goldenbahis

goldenbahis

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

amgbahis

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

taksimbet

Featured Kitaifa

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YAOMBA KUIDHINISHIWA BILIONI 110.89 KWA MWAKA 2024/2025

Written by mzalendo
 Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji,akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025 leo Mei 21,2024 bungeni jijini Dodoma.
Na.Alex Sonna-DODOMA
WIZARA ya Viwanda na Biashara imeliomba Bunge kupitishe bajeti ya wizara hiyo kiasi cha Sh.bilioni 110.89 bilioni yenye vipaumbele vikuu sita ambavyo ni kuendelea na utekelezaji wa miradi ya kielelezo na kimkakati.
Hayo yamebainishwa leo, Mei 21, 2024 bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji,wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025.
Ambapo amesema, kati ya fedha hizo, shilingi Bilioni 81.11 ni matumizi ya kawaida, na shilingi Bilioni 29.78 ni matumizi ya Maendeleo. Kati ya shilingi Bilioni 81.11 za matumizi ya kawaida, zinajumuisha shilingi Bilioni 68.35 fedha za Mishahara na shilingi Bilioni 12.76 kwa ajili ya matumizi mengineyo.
VIPAUMBELE VYA BAJETI YA MWAKA 2024/2025
Katika mwaka 2024/2025, vipaumbele vikuu vya Wizara ni sita (6). Aidha, vipaumbele
hivyo vitatekelezwa na shughuli mbalimbali za Wizara.
MOJA , Kuendelea na utekelezaji wa miradi ya kielelezo na kimkakati;
MBILI , Kuimarisha uwezo wa uzalishaji viwandani na utoaji huduma
kwa kuimarisha miundombinu na mazingira wezeshi;
TATU ,Kuboresha mazingira ya uwekezaji viwandani na ufanyaji
biashara;
NNE , Kuchochea maendeleo ya watu kwa kuboresha miradi na
programu katika sekta za Kiuchumi na kijamii inayohusisha
elimu na mafunzo ya ujuzi;
TANO , Kufanya intelijensia ya masoko ya bidhaa na huduma zinazozalishwa nchini kwenye masoko ya kimkakati na ya kimataifa; na
SITA , Kuchochea ukuaji wa Sekta binafsi nchini.
SHUGHULI ZITAKAZOTEKELEZWA KWA KUZINGATIA VIPAUMBELE VIKUU VYA WIZARA KATIKA MWAKA 2024/25
MOJA , Kuendeleza miradi ya kimkakati ya Magadi Soda Engaruka
na Makaa ya mawe Mchuchuma na Chuma cha Liganga;
MBILI , Kuendeleza miradi ya kiwanda cha viuadudu (TBPL) na
kiwanda cha KMTC;
TATU , Kuendelea kukiwezesha Kiwanda cha TBPL kuzalisha
mbolea hai (Biofertilizer) kwa kutumia mitambo iliyopo;
NNE , Kusanifu na kuendeleza utengenezaji wa vifaa tiba vya
hospitali awamu ya tatu;
TANO , Utengenezaji wa kibiashara wa viwanda vidogo vya
kuchakata sukari (sugar mill mini-processing plant –
Capacity 200 TCD);
SITA , Kutengeneza Mitambo ya nishati mbadala na teknolojia za wachimbaji wadogo wa madini (ASM) ili ziweze kusaidia katika utunzaji wa mazingira;
SABA , Kuanzisha mitaa ya viwanda kwa ajili ya kongano za
viwanda na biashara katika Wilaya moja kila Mkoa ili
kuongeza thamani ya mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi;
NANE , Kuendelea kupambana na uingizaji wa bidhaa bandia ili
kulinda nembo au alama za bidhaa dhidi ya watu
wanaotumia nembo/alama hizo bila idhini ya wamiliki;
TISA , Kufanya mafunzo kwa maafisa biashara kwa lengo la kuwafikia na kurahisisha shughuli za sajili na leseni kwa wafanyabiashara;
KUMI , Kuwarasimisha wafanyabiashara na wenye viwanda waliopo kwenye sekta isiyo rasmi kwa kuendesha kliniki za
biashara kwenye kila Halmashauri nchini.
KUMI NA MOJA , Kujenga uwezo na kutoa elimu kwa wadau kuhusu fursa zitokanazo na mashirikiano ya uwili, kikanda na kimataifa na kuwaunganisha wafanyabiashara wa Tanzania na
wawekezaji;
KUMI NA MBILI , Kuendelea na utafutaji wa masoko kwa bidhaa na huduma
zinazozalishwa nchini;
KUMI NA TATU , Kuingiza orodha ya bidhaa mpya kwenye mfumo na
kutanua mfumo ulioboreshwa kwenye maeneo ya mifugo,
uvuvi, madini yasiyo vito na bidhaa za mbogamboga;
KUMI NA NNE , Kukamilisha Mfumo wa Taarifa za Viwanda (National
Industrial Information Management System – NIIMS) na
tathmini ya viwanda na kuainisha fursa za uwekezaji
(Industrial Mapping) katika kanda ya Ziwa;
KUMI NA TANO , Kuimarisha usimamizi wa ubora na usalama wa bidhaa
nchini zikiwemo bidhaa za chakula na vipodozi;
KUMI NA SITA , Kukamilisha uandaaji wa kuzalisha Kinasaba cha Mafuta
(Fuel Marker) nchini; na
xvii.Kuimarisha uwajibikaji wa Wasimamizi wa Ghala kwa
kushirikiana na kampuni za uhakiki wa bidhaa katika ghala.

About the author

mzalendo