Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

bahiscom

betgit

betgaranti

grandpashabet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

betplay

Hacklink panel

pokerklas

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betzula

betzula giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betzula

betzula giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

goldenbahis

goldenbahis

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel giriş

jojobet

amgbahis

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

betsat

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

taksimbet

Featured Kitaifa

DC KONGWA: MAHINDI NA KARANGA MWOKOZI KWA WATOTO WADOGO KONGWA

Written by mzalendo

 

MKUU wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Simon,akizungumza  wakati wa hafla ya kufungua kikao cha mrejesho wa matokeo ya utafiti na mafunzo ya kupunguza sumukuvu katika mazao baada ya kuvuna kilichofanyika wilayani humo.

MAKAMU  Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela,Arusha Prof.Maulilio Kipanyula,akizungumza  wakati wa hafla ya kufungua kikao cha mrejesho wa matokeo ya utafiti na mafunzo ya kupunguza sumukuvu katika mazao baada ya kuvuna kilichofanyika wilayani Kongwa.

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Dkt.Omary Nkullo,akizungumza  wakati wa hafla ya kufungua kikao cha mrejesho wa matokeo ya utafiti na mafunzo ya kupunguza sumukuvu katika mazao baada ya kuvuna kilichofanyika wilayani Kongwa.

BAADHI ya washiriki wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Simon (hayupo pichani),akizungumza  wakati wa hafla ya kufungua kikao cha mrejesho wa matokeo ya utafiti na mafunzo ya kupunguza sumukuvu katika mazao baada ya kuvuna.

 

MKUU wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Simon,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua kikao cha mrejesho wa matokeo ya utafiti na mafunzo ya kupunguza sumukuvu katika mazao baada ya kuvuna.

Na.Alex Sonna-KONGWA

MKUU wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Simon ametoa  wito kwa wadau kutumia njia mbalimbali kusambaza elimu kuhusu sumukuvu kwa wakulima, walaji na wadau wengine katika sekta ya chakula na lishe.

Kauli hiyo ameitoa wilayani Kongwa wakati wa hafla ya kufungua kikao cha mrejesho wa matokeo ya utafiti na mafunzo ya kupunguza sumukuvu katika mazao baada ya kuvuna.

Amesema inaweza kujumuisha uandishi wa machapisho, semina, mikutano ya kikanda, na hata matumizi ya teknolojia kama vile simu za mkononi na mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari zikiwemo runinga, radio na magazeti ili kufikisha ujumbe kwa haraka na kwa ufanisi zaidi.

kwa upande wa Halmashauri na Wizara ya Kilimo ,amesema uandaliwe mkakati wa maksudi wa kuhakikisha kuwa mapendekezo yote yaliyotokana na tafiti yanafanyiwa kazi kwa ukamilifu.

“Hii inaweza kujumuisha kufanya mabadiliko katika kanuni za kilimo, kuwekeza zaidi katika miundombinu ya kuhifadhi mazao, kuandaa vyakula ili kupunguza hatari ya sumukuvu, na hata kuimarisha mifumo ya udhibiti na ukaguzi ili kuhakikisha viwango vya usalama wa chakula vinazingatiwa,”amesema Mhe.Simon

Hata hivyo amesema  kupitia utafiti  wa Sumukuvu  wameweza  kubaini kaya nyingi katika Wilaya ya Kongwa na kwingineko zinategemea nafaka aina ya mahindi na karanga kama sehemu kuu ya uji wa watoto wadogo na ugali ambao ni chakula kikuu cha familia.

Mhe.Simon amesema amefarijika  kuona matokeo ya tafiti zilizofanywa katika kipindi cha miaka michache zililenga kuelewa vizuri zaidi madhara ya sumukuvu.
Amesema kupitia tafiti hizo, wameweza  kubaini kuwa, kaya nyingi katika Wilaya ya Kongwa na kwingineko zinategemea nafaka aina ya mahindi na karanga kama sehemu kuu ya uji wa watoto wadogo na ugali ambao ni chakula kikuu cha familia.
” Kwa bahati mbaya mazao haya yanashambuliwa zaidi na kuvu wazalishao sumukuvu endapo mbinu bora za kilimo, uhifadhi na uandaaji wa chakula zisipozingatiwa kikamilifu,”amesema
Hata hivyo amesema pamoja na changamoto ya mazao kushambuliwa na kuvu, kupitia tafiti hizo watafiti wameainisha kwamba, athari zinazoweza kusababishwa na sumukuvu zinaweza kupunguzwa kwa kuzingatia mbinu bora za kilimo na uhifadhi mazao baada ya kuvuna.
Vile vile mbinu bora za kuandaa nafaka hizi kabla ya kupika zinaweza kupunguza sumukuvu endapo zitafanywa kwa ufanisi.
Kwa upande wake Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela,Arusha Prof.Maulilio Kipanyula, amesema kuwa uchambuzi   wa matokeo ya utafiti kuhusu sumukuvu  umebaini mambo manne.
Prof.Kipanyula ameyataja mambo hayo ni  kaya nyingi kutegemea mahindi na karanga kama chakula
kikuu cha watoto wadogo na familia ikifuatiwa na mtama, ulezi na uwele.
Pia,Vyakula hivyo vina kiwango cha virutubisho vinavyohitajika kuupa mwili nguvu (energy), proteini na mafuta (lipid); vina nusu ya kiwango kinachohitajika cha madini ya calcium na Vitamini A, na upungufu mkubwa wa madini chuma (iron) na zinc.
Amesema pia matokeo hayo  yamebaini   mahindi na karanga zinashambuliwa na sumukuvu zaidi kuliko nafaka nyingine.
” Viashiria vya uwepo wa sumukuvu kwenye sampuli za kibaolojia kama vile damu na mkojo, hali hii anaashiria uwezekano wa watoto na jamii kuwa katika hatari ya kupata madhara yanayosababishwanasumukuvu,”amesema Prof Kipanyula.
Amesema maandalizi ya awali ya mradi yalianza mwaka 2015 na kufuatiwa na awamu ya utekelezaji mwaka 2017.
“Mradi huu ulifanikiwa kufikia  kaya zipatazo 2,874 katika Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa;watoa huduma ya afya ya Baba, Mama na Mtoto wapatao 52 kutoka katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya ndani ya Wilaya ya Kongwa,”amesema
Pia umewafikia watoa  wahudumu wa Afya ngazi ya jamii  104,ambapo jumla ya kaya zilizofikiwa moja kwa moja na mradi huo kuwa 3,030 sawa na idadi ya watu 14,370.
Amesema  Matokeo ya utafiti uliofanywa na mradi MMT  yanaendana kwa kiasi kikubwa na yale ya tafiti nyingine zilizofanywa na wanazuoni wengine ambazo pia zilibaini uwepo wa tatizo la sumukuvu kwenye mazao katika maeneo ya Wilaya ya Kongwa.
“Na  hivyo kuathiri ubora wake kwa matumizi ya chakula cha binadamu na mifugo. Kama nilivyoanza kusema lengo la mkutano huu ni kuleta mrejesho wa matokeo ya utafiti wetu.
“Sambamba na hilo tumeona ni vyema kuandaa mafunzo ya namna ya kudhibiti kuvu kushambulia nafaka baada ya kuvuna, na jinsi ya kupunguza sumukuvu kwenye nafaka ambazo tayari zimeshaathiriwa.
“Ni matumaini yetu kuwa kupitia mafunzo yatakayotolewa, jamii  itapata uelewa wa namna ya kupambana na sumukuvu katika mazao ya chakula na hivyo kupunguza athari zake,”amesema Prof Kipanyula
Naye Msimamizi wa Mradi Prof.Neema Kassim amesema kuwa mradi huo umewafikia watu 3,000 tatu sababu ya washiriki wa mradi wapo 2874 ukijumlisha na wahudumu wa afya wanafikia hiyo idadi ya watu 3000 hawa ndo tulifawakia moja kwa moja kwa kuwafundisha na kuwapa kitendea kazi

About the author

mzalendo