Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

starzbet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat güncel giriş

betpark

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

mariobet, mariobet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pusulabet

maxwin

vaycasino

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

nerobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

casino siteleri

jojobet

tubidy

Featured Kitaifa

SERIKALI INAENDELEA KUWAHUDUMIA WAATHIRIKA WA KIMBUNGA HIDAYA – MAJALIWA

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma taarifa kuhusu  Kimbunga Hidaya kilichotokea pwani ya bahari ya Hindi, bungeni jijini Dodoma, Mei 9, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

…….

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea  kutoa misaada ya kibinadamu na urejeshaji wa hali kutokana na athari zilizosababishwa na Kimbuga HIDAYA kwenye maeneo ya Kilwa, Mafia, Rufiji na Ifakara.

Amesema kuwa hatua hizo za Serikali zimeshirikisha Wizara za Kisekta, Ofisi za Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Kamati za Usimamizi wa Maafa katika ngazi mbalimbali pamoja na wadau wengine muhimu. 

Amesema hayo leo (Alhamisi Mei 09, 2024) wakatiakitoa taarifa rasmi kuhusu kimbunga Hidaya kilichotokea Mei 03 mwaka huu katika Pwani ya Bahari ya Hindi.

Amesema kuwa hatua zilizochukuliwa katika Wilaya ya Kilwa ni pamoja kuendesha zoezi la utafutaji na uokokoaji ambapo jumla watu 4,080 wameokolewa katika maeneo mbalimbali. 

“Hatua nyingine ni kurejesha hali ya miundombinu ya barabara kuu ya Lindi – Dar es Salaam. TANROADS wapo eneo la tukio wanaendelea na kazi; Juhudi zinafanyika za urejeshaji wa daraja la Somanga – Mtama ili magari yaliyokwama yaendelee na safari”

Waziri Mkuu amesema hatua zilizochukuliwa katika Wilaya za Rufiji na Kibiti ni pamoja na Kutoa huduma ya Afya ya Akili, Msaada wa Kisaikolojia na Kijamii kwa waathirika 1,941(1,501 Kibiti na 440 Rufiji);Kuwaunganisha waathirika 24 (12 Rufiji na 12 Kibiti) walio kambini na huduma za matibabu na hivyo kufanya idadi ya waathirika waliofikiwa na huduma hiyo hadi sasa kufikia 912 (472 Kibiti na 440 Rufiji) na Kutoa elimu ya usafi, ulinzi na usalama kwa mtoto kwa waathirika 1,023 (583 Kibiti na 440 Rufiji).

Katika Wilaya ya Mafia, Waziri Mkuu amesema hatua zilizochukuliwa ni kuwaunganisha waathirika  na ndugu na majirani ili wapate hifadhi ya muda baada ya nyumba zao kubomoka na kuzingirwa na maji. Kwa upande wa Kilwa Waziri Mkuu amesema Serikali imeanzisha makazi ya muda kwenye shule za Msingi ambapo kwa sasa wananchi wapo kwenye vituo vitatu vya Shule za Msingi za Mchakama, Ruhatwe na Ndende.

“Mahitaji ya chakula ikiwemo unga, maharage, mafuta ya kula vimepelekwa kwa waathirika; na Kamati ya Usimamizi wa Maafa ya Wilaya ya Kilwa imeendelea kuimarishwa na kuunda Kamati ndogo ndogo kwa ajili ya kuongeza ufanisi katika uratibu na usimamizi wa kukabiliana na madhara yaliyotokea”, Amesema.

Katika Hatua nyingine, Waziri Mkuu amesema juhudi za kuokoa watu zilifanyika kwa kupeleka Fiber Boat kupitia kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambapo watu wanaendelea na kupelekwa Somanga mjini. “Afya zao ni nzuri na wanaendelea kuhudumiwa. Vilevile, kwa upande wa shule iliyozingirwa na maji, wanafunzi 92 wa kidato cha sita wamehamishwa katika kituo cha mtihani kwenye Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kilwa (FDC)”.

“Katika Mkoa wa Mtwara, Wananchi waliokosa makazi baada ya nyumba zao kubomoka na kuzingirwa na maji katika Manispaa ya Mtwara na Wilaya ya Mtwara Vijijini wameendelea kuunganishwa na ndugu na jamaa kwa ajili ya hifadhi ya muda”.

Katika kata nne za Mbasa, Viwanja Sitini, Kibaoni na Katindiuka zilizoko kwenye Halmashauri ya Mji wa Ifakara ambazo ziliathirika na mafuriko ya mto Lumemo, Serikali imechukua hatua ya kuwahamisha waathirika katika maeneo ambayo ni salama ili kupunguza athari kwa wananchi hao.

“Ili kupunguza athari kwa wananchi ambao nyumba  zao zilibomoka na kuzingirwa na maji Serikali imewahamishia waathirika kwenye majengo ya shule na kuwapatia misaada ya kibinadamu kama chakula, vifaa vya malazi na dawa za kibinadamu”

Amesema kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya marekebisho ya nguzo zilizoanguka na huduma ya umeme imerejea kwa baadhi ya sehemu.

Hata hivyo, Waziri Mkuu alitumia fursa hiyo kulitaarifu Bunge kwamba hadi sasa, mvua zilizonyesha zikiambatana na upepo mkali katika maeneo yote zimesababisha vifo vya watu watano, majeruhi saba, kaya 7,027 zenye watu 18,862 zimeathirika.

About the author

mzalendo