marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

casibom giriş

jojobet

bets10

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

en iyi slot siteleri

Featured Kitaifa

DKT.DIMWA : ANENA JUU YA MUUNGANO

Written by mzalendo

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, akizungumza katika moja ya Mkutano wa CCM Zanzibar.

NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR.

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Mohamed Said Dimwa, amesema chama hicho kinaridhishwa na juhudi za Serikali zote mbili katika kuimarisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Alisema muungano huo unaendelea kuvunja rekodi ya kudumu kwa miaka mingi zaidi ya miungano ya nchi nyingine barani Afrika na duniani kwa ujumla, kutokana na dhamira ya dhati ya kuasisiwa kwake.

Dkt Dimwa aliyasema hayo  alipokuwa  akizungumza katika mahojiano maalumu, ambapo amesema juhudi hizo zimeleta Mapinduzi ya kiuchumi,kiuchumi,kijamii na kuimarisha diplomasia ya kikanda na kimataifa.

Alifafanua kuwa   Muungano huo ulioasisiwa  Aprili 26, 1964 na hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na hayati Abeid Amani Karuma, umetimiza miaka 60 ukiwa na mafanikio ya wazi yanayozinufaisha nchi zote mbili Zanzibar na Tanzania Bara.

 Alisema kuimarika kwa Muungano huo ni kutokana na mchango wa Viongozi wa awamu mbalimbali katika Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kusimamia, kudumisha na kuimarisha umoja, amani na mshikamano.

Dkt. Dimwa aliwapongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa ushirikiano mzuri na kazi kubwa wanayoifanya kuhakikisha Muungano huo unaendelea kuwa na tija kwa nchi zote mbili.

“Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020/2025 ibara ya 246 (b), Chama Cha Mapinduzi kimeelekezwa kudumisha Muungano hivyo hiki ni kipaumbele kwetu na lazima tusimamie kwa vitendo na gharama yoyote.”

“Hakuna mwananchi wa Zanzibar na Tanzania bara asiyenufaika na Muungano huu kwani umegusa kila sehemu kuanzia katika asili zetu, maisha yetu ya kila siku ya kutafuta riziki, fursa za kiuchumi na kijamii pamoja na ukuaji wa demokrasia inayotegemea utashi wa kisiasa.”, alisema Dkt. Dimwa

Alisema wapo baadhi ya wanasiasa na wasomi wanaoukosoa Muungano huo kutokana na utashi wa itikadi za vyama vyao, bila kuridhia hoja ya kutafusa suluhu ya kumaliza kasoro ndogondogo zilizopo katika Muungano huo.

Pamoja na hayo, alisema watu wanaoukosoa Muungano huo wajue kwamba haukuundwa kwa msukumo wa kisiasa bali ni kutokana na maslahi mapana ya kiuchumi na kijamii, yaliyolenga kuleta manufaa kwa wananchi wa pande zote mbili.

Alisema Zanzibar imeendelea kuimarika kutokana na uwepo wa taasisi za Muungano zinazotoa huduma bora kwa wananchi wote bila ubaguzi.

Dkt. Dimwa alisema Chama Cha Mapinduzi kinaamini kuwa uimara wa uchumi na maendeleo endelevu ya kuivusha Zanzibar kufikia katika hadhi ya nchi za visiwa zilizoendelea kiuchumi, ni kuimarika kwa tunu ya Muungano huo.

Katika hatua nyingine Dkt. Dimwa  aliwataka wananchi bila kujali tofauti zao za kisiasa waendelee kuunga mkono mambo mema yanayotekelezwa chini ya Muungano huo, ambao ndio chimbuko la uwepo wa sera nzuri za kuimarisha uchumi wa nchi.

Alichambua baadhi ya mafanikio, changamoto, dhamira ya CCM Zanzibar na muelekeo wa muungano kwa miaka ijayo chini ya utawala wa Chama Cha Mapinduzi katika nyanja za uchumi, kijamii na kisiasa.

Mafanikio

Alisema tangu   kuasisiwa kwa Muungano huo mwaka 1964 Zanzibar iliendelea kubaki kama nchi inayojitawala na kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano kwa baadhi ya mambo waliokubaliana Kikatiba.

Dkt.Dimwa, alieleza kuwa wananchi wa pande zote mbili wamekuwa huru katika kutembea na kuishi sehemu yoyote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hatua ambayo ni fursa kubwa kwa wananchi wa Zanzibar.

Alisema kuimarika kwa undugu, amani, utulivu, mshikamano baina ya wananchi wa pande zote mbili ni hatua kubwa ya mafanikio kwani hakuna kiashiria chochote cha uwepo wa migogoro ya kijamii inayoweza kuingiza nchi katika machafuko.

Pamoja na hayo Dkt.Dimwa, alisema kuimarika kwa fursa za ajira na biashara ni sehemu ya mafanikio ya uwepo wa Muungano huo.

Mafanikio mengine ni utatuzi wa changamoto za Muungano ambazo kwa miaka mingi zilikuwa zikilalamikiwa ambapo kwa sasa zimebaki chache na muda wowote zitatatuliwa zote.

Dhamira ya CCM Zanzibar.

Dkt.Dimwa, alieleza kuwa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar kitaendelea kusimamia misingi yake ya kuendeleza utawala wa haki, sheria,uwajibikaji na utawala bora ili wananchi waendelee kunufaika na matunda ya Muungano.

Alisema ndani ya Muungano huo CCM Zanzibar itahakikisha inasimamia kwa vitendo sera zake ili ziwe chachu ya kunufaisha wananchi wa visiwa vya hivyo vya kihistoria.

Aliweka msisitizo kuwa  ataendelea kusimamia kikamilifu Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020/2025 pamoja na dira ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2025 kwa kuhakikisha  zinakuwa ni vipaumbele vya kuchochea maendeleo ya nchi.

Muelekeo wa muungano kwa miaka ijayo

Dkt.Dimwa, alisema kutokana na juhudi za Serikali katika kusimamia masuala yote ya Muungano upo muelekeo mzuri na matumaini yanayodhibitisha dhamira.

About the author

mzalendo