Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO AONGOZA MAPOKEZI YA TRENI YA MWENDOKASI DODOMA

Written by mzalendo
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisalimiana na viongozi wa dini wakati wakiwasili mkoani wakitokea Dar es Salaam kwa treni ya kisasa ya mwendokasi ikitokea Dar es Salaam

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule wakati wakisubiri treni ya majaribio iliyobeba viongozi wa dini waliosafiri kwa treni ya mwendokasi wakitokea Dar es Salaam leo Aprili 21, 2024. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiongoza viongozi na wananchi wa mkoa wa Dodoma katika mapokezi ya treni ya mwendokasi ya majaribio iliyobeba viongozi wa dini waliosafiri kwa treni ya mwendokasi wakitokea Dar es Salaam leo Aprili 21, 2024.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akisalimiana na viongozi wa dini wakati wakiwasili mkoani wakitokea Dar es Salaam kwa treni ya kisasa ya mwendokasi ikitokea Dar es Salaam leo Aprili 21, 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na viongozi pamoja na wananchi wakati wa mapokezi ya treni ya mwendokasi iliyobeba viongoza wa dini waliowasili mkoani Dodoma wakitokea Dar es Salaam leo Aprili 21, 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma SACP Theopista Mallya mara baada ya mapokezi ya treni ya mwendokasi iliyobeba viongoza wa dini waliowasili mkoani Dodoma wakitokea Dar es Salaam leo Aprili 21, 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule mara baada ya mapokezi ya treni ya mwendokasi iliyobeba viongozi wa dini waliosafiri wakitokea Dar es Salaam leo Aprili 21, 2024

………………….. 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewaongoza viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dodoma katika mapokezi ya viongozi wa dini waliosafiri kwa treni ya mwendokasi wakitokea Dar es Salaam leo Aprili 21, 2024.

Viongozi hao wanatarajia kushiriki ibada maalumu ya kuliombea Taifa itakayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Aprili 22, 2024 na kuongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango.

Akizungumza mara baada ya treni hiyo kuwasili, Dkt. Jafo amesema hiyo ni fahari kubwa kwa nchi yetu kupata usafiri huo ambao pamoja ya kwamba unatumia muda mfupi kusafiri lakini pia umewaunganisha Watanzania wote kwani kuna wengine wametoka Pemba na Unguja.

Amesema wakati Taifa linaelekea kuadhimisha miaka 60 ya Muungano hayo ni mafanikio makubwa katika sekta ya usafiri kwani kupitia Muungano wananchi wa Tanzania Bara na Zanzibar wanajenga uchumi kwa mafanikio makubwa ya nchi.

Dkt. Jafo ameongeza kuwa kwa vile Serikali imefanya uwekezaji mkubwa wa reli ya kisasa imeona ni jambo la heri viongozi wa dini wawe wa kwanza kupanda chombo hicho wakati wanakwenda kuliombea Taifa.

Amesema Tanzania ni Taifa la mfano duniani ambalo wananchi wake kutoka Bara na Zanzibar wameungana na kujenga uhusiano wa damu ambao umedumu kwa kipindi kirefu.

“Ndugu zangu najua mmetoka mbali tunawakaribisha sana Dodoma, lakini naomba niwaambie viongozi wa dini Serikali inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan inawapenda sana na kesho tutakuwa na maombi ya kuliombea Taifa letu kwa tunu ya Muungano tuliyonayo,” amesema.

Akielezea namna maadhimisho hayo yatakavyoadhimishwa, Dkt. Jafo amesema kuwa Serikali imeamua kufanya maombi maalumu tarehe 22 na tarehe 24 kutakuwa na tuzo maalumu kwa waasisi wa Muungano, tarehe 25 kutakuwa shamrashamra za Muungano jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na kielele cha maadhimisho hayo Aprili 26, 2024.

Miongoni mwa waliosafiri na treni hiyo kutoka jijini Dar es Salaam ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja pamoja na watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais.

Viongozi walioshiriki katika mapokezi hayo ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri.

About the author

mzalendo