Featured Kitaifa

DKT.MPANGO AWASILI KUONGOZA WATANZANIA MAOMBI KITAIFA

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma ambapo anawaongoza Watanzania katika Dua na Maombi ya kuliombea Taifa ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano.

About the author

mzalendo