Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

casibom

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

casibom

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

bets10

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

megabahis giriş

megabahis

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark güncel giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

maxwin

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

bets10 sorunsuz giriş

maxwin

vdcasino

jojobet

Featured Kitaifa

DKT. BITEKO AWATAKA WATANZANIA, WASIKUBALI KUGAWANYWA

Written by mzalendo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe, Dkt. Doto  Biteko,akizungumza mara baada ya kuweka  jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha Afya Shehiya ya Kinyikani Jimbo la Kojan wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba tarehe 20 Aprili 2024.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe, Dkt. Doto  Biteko akiweka  jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha Afya Shehiya ya Kinyikani Jimbo la Kojan wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba tarehe 20 Aprili 2024. Wa kwanza kulia (mbele) ni Mbunge wa Jimbo la Kojani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hamad Chande

………….

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania katu wasikubali kugawanywa kwa namna yoyote na badala yake waulinde na kudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao unatimiza miaka 60 ifikapo tarehe 26 Aprili, 2024 na serehe za maadhimisho yake yatafanyika Jijini Dar es Salaam.

Dkt. Biteko amesema kuimarika kwa Muungano kumetokana na Amani, utulivu na mshikamano miongoni mwa Watanzania na hivyo Muungano ni moja ya Tunu za Taifa ambao unahitaji kulindwa ili kuenzi matunda yaliyopatikana.

Dkt. Biteko ameyasema hayo leo 20 Aprili 2024, mara baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Kituo cha Afya Shehiya ya Kinyikani Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho kuelekea miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

“Tanzania ndio nchi pekee barani Afrika na Duniani kwa ujumla kuwa na Muungano imara na thabiti kwa miaka mingi, hivyo ni vema kuulinda kwa namna yoyote ile” Alisema Dkt. Biteko

Awali, Dkt. Biteko alipata fursa ya kukagua ujenzi wa kituo hicho cha Afya cha Kinyikani, kinachojengwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii nchini (TASAF)  na kusimamiwa na wakala wa ujenzi Zanzibar ZBA, ambapo hadi kukamilika kwake kituo hicho kitagharimu shilingi milioni 500.

Pia amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuhakikisha miradi ya maendeleo zikiwemo Zahanati, Vituo vya Afya, Shule na Miundombinu mbalimbali inatekelezwa.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Waziri wa nchi Afisi ya makamu wa pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe. Hamza Hassan Juma, amepongeza jitihada zinazofanywa na Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuwaletea wananchi maendeleo na kuhakikisha huduma za Afya zinaimarika kisiwani Pemba.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Fedha ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kojani Mhe. Hamad Chande, amewashukuru wananchi wa Jimbo la Kojani kwa kuchangia Takriban asilimia 10 ya ujenzi wa kituo hicho cha Afya
pamoja na nguvu kazi kwenye ujenzi wa kituo hicho, na kuwaahidi pindi ujenzi utakapokamilika atatoa gari la jipya la  wagonjwa ili kurahisha huduma kwa wakazi wa maeneo hayo.

Kituo hicho cha afya kitakuwa na huduma mbalimbali ikiwemo huduma za wagonjwa wa Nje OPD, Huduma za Uzazi Mama na Mtoto, Huduma za Maabara, Ultra Sound, Pamoja na huduma nyingine za tiba.

Hafla hiyo imehudhuriwa na Waziri wa nchi Afisi ya Makamu wa pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la wawakilishi Mhe. Hamza Hassan Juma, pamoja na viongozi wengine na wawakilishi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASA, Maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yatafikia kilele chake tarehe 26 Aprili, 2024 katika sherehe za Kitaifa zitakazofanyika Jijini Dar Es Salaam.

About the author

mzalendo