Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba (Mb) akipokelewa Ofisi ya Rais – TAMISEMI na viongozi na baadhi ya watumishi wakati alipowasili Ofisi za Wizara hiyo zilipo Mji wa Kiserikali Mtumba jijini Dodoma , leo tarehe 05 Aprili, 2024