Photos

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU DODOMA

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na
waumini mbalimbali kushiriki Ibada ya Ijumaa Kuu katika Parokia ya
Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma.
Tarehe 29 Machi 2024.

About the author

mzalendo