Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

agb99

Hacking forum

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

bets10

tipobet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

superbetin

jojobet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis giriş

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

amgbahis

holiganbet

superbetin

casinoroyal

casinomilyon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet

pusulabet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giris

jojobet

jojobet

meritking

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

meritking

marsbahis güncel giriş

meritking güncel giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

cratosroyalbet

Hacklink panel

betpas

holiganbet

Google

jojobet

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giris

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis giriş

marsbahis

primebahis

tümbet

tümbet giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

pokerklas

pokerklas

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

betsmove

holiganbet

ikimisli

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betkolik

ikimisli giriş

marsbahis giriş

marsbahis giriş

ikimisli giriş

ikimisli

betkolik

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betkolik giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis

betkolik

betkolik giriş

betkolik giriş

jojobet giriş

betkolik

ikimisli

marsbahis giriş

jojobet giriş

betkolik

marsbahis giriş

betkolik giriş

jojobet mobil

ikimisli giriş

betkolik giriş

nerobet

nerobet

aresbet, aresbet giriş

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

Deneme Bonusu

enjoybet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet giriş

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

betsat

extrabet giriş

romabet

turkey dental implants

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

pulibet

süratbet

perabet

nerobet

mavibet güncel giriş

mavibet

mavibet giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

mavibet

mavibet giriş

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

artemisbet

artemisbet giriş

mavibet

Featured Kitaifa

MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA HOJA 15 ZA MUUNGANO ZIMETATULIWA

Written by mzalendo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, jijini Dodoma leo  Machi 26, 2024, Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi (kulia) na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Mobhare Matinyi wakati wa kikao na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, jijini Dodoma leo  Machi 26, 2024, Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bi. Sarah Kibonde.

Waandishi wa habari wakifuatilia kikao cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (hayupo pichani) kuhusu mafanikio ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, jijini Dodoma leo  Machi 26, 2024, Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI  wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan jumla ya hoja 15 za Muungano zimetatuliwa.

Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, jijini Dodoma leo  Machi 26, 2024, Dodoma, Dkt. Jafo amesema tangu kuanzishwa kwa utaratibu wa vikao vya pamoja mwaka 2006, hoja 22 zimepatiwa ufumbuzi kati ya hoja 25 zilizoibuliwa.

Dkt.Jafo amesema kuwa hoja  zilizobakia zipo katika hatua mbalimbali za kupatiwa ufumbuzi.

“Hoja nyingi ambazo zilikuwa hazijapatiwa ufumbuzi zimejadiliwa na pande zote mbili za Muungano na kupatiwa ufumbuzi ambapo katika kipindi cha mwaka 2021 hadi 2024 pekee hoja 15 zimepatiwa ufumbuzi kati ya hoja 18 zilizokuwepo kwa kipindi hicho.”amesema Dkt.Jafo

Aidha  amewaasa wananchi kuulinda na kuenzi Muungano akisema kuwa ni wa kipekee barani Afrika na duniani kote akisisitiza kuwa umekuwa ni wa faida nyingi zinazoufanya uendelee kuimarika.

Amesema Serikali zote mbili zimeweka Mwongozo rasmi wa vikao vya Kamati ya Pamoja ya Kushughulikia Masuala ya Muungano ambavyo hushirikisha wajumbe kutoka pande zote mbili za Muungano ambavyo hufanyika katika ngazi za Makatibu Wakuu, Mawaziri na kikao cha Kamati ya Pamoja ambacho Mwenyekiti wake ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

Waziri Jafo amesisitiza katika kuhakikisha usawa wa utoaji wa huduma kwa wananchi wa pande zote mbili za Muungano, Taasisi za Muungano zilizopo Tanzania Bara zimefungua Ofisi Zanzibar ambapo hadi sasa Taasisi 33 zimefungua Ofisi Zanzibar kati ya Taasisi 37 za Muungano.

Kwa upande wa Mazingira amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza Sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 1997 na baadaye Sera ya Mazingira ya mwaka 2021 ambapo mafanikio makubwa yamepatikana katika uhifadhi na usimamizi wa mazingira ikiwa ni pamoja na kuratibu utekelezaji wa Kampeni ya Upandaji Miti nchini ambapo kila Halmashauri ya Wilaya imeelekezwa kupanda miti milioni 1.5 kila mwaka.

Kuhusu huduma mbalimbali za kijamii, Waziri Dkt. Jafo amesema kabla Muungano shule za msingi zimeongezeka kutoka 3,270 hadi 20,562 mwaka 2024 ambapo kati ya hizo za Serikali ni 18,012 na za binafsi ni 2,550.

Vilevile amesema shule za sekondari zimeongezeka kutoka 41 mwaka 1961 hadi 6,511 mwaka 2024 ambapo kati ya hizo, shule 4,892 ni za Serikali na 1,619 ni za binafsi. 

Kwa upande wa huduma za afya amesema vituo vya kutolea huduma za afya ngazi zote vimeongezeka kutoka 1,343 mwaka 1960 hadi vituo 9,662 mwaka 2024 na kati ya hivyo ni  zahanati 8,043, vituo vya afya 1,176, hospitali za halmashauri 171, hospitali zenye hadhi ya wilaya 182 na hospitali za rufaa za mikoa 28.

Ameongeza hospitali zenye hadhi ya Mkoa 34; Hospitali za Rufaa za Kanda 5; Hospitali zenye hadhi ya Kanda 11; Hospitali maalumu 6; Hospitali ya Taifa 1; na Hospitali Maalumu za Taifa 6. 

Aidha, Dkt. Jafo ametaja mafanikio mengine ni kuimarika kwa upatikana wa huduma za maji, umeme na mtandao wa barabara, upatikanaji wa maji vijijini umeongezeka kutoka asilimia 32 mwaka 2000 hadi asilimia 77 mwaka 2022. 

Aidha, upatikanaji wa umeme umeongezeka kutoka asilimia 10 mwaka 2000 hadi 78 mwaka 2022. Vile vile, mtandao wa barabara za lami na zege mijini na vijijini umeongezeka kutoka KM 1,360 mwaka 1961 hadi KM 11,966 mwaka 2022.  

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi,amesema  kuelekea miaka 60 ya muungano ofisi yake imeandaa utaratibu wa viongozi wa Wizara zenye idara ya kiumungano kueleza mafanikio yaliyopatikana.

Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika yanatarajiwa kufanyika Aprili 26, 2024 ambapo kaulimbiu yake ni ‘Miaka 60 ya Muungano Tanzania, Tumeshikana na Tumeimarika kwa Maendeleo’

About the author

mzalendo