Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI MKOA WA KILIMANJARO KWA ZIARA YA KIKAZI

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwaajili ya Ziara ya Kikazi katika Mkoa wa Kilimanjaro tarehe 20 Machi 2024

About the author

mzalendo