slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

vdcasino

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

mavibet

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

meritking

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

marsbahis

jojobet giriş

matbet

sekabet

pusulabet

vdcasino giriş

kingroyal

betist

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

Featured Kitaifa

MAAFISA MASUULI WATAKIWA KUZINGATIA USHAURI WA WATAALAMU KATIKA TAASISI ZAO

Written by mzalendo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na Maafisa Sheria na Maafisa Rasilimaliwatu wakati akifunga kikao kazi cha kujadili changamoto za utekelezaji wa Sheria, Kanuni na Miongozo ya Utumishi wa Umma kilichofanyika Jijini Dodoma.

Maafisa Sheria na Maafisa Rasilimaliwatu wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene alipokuwa akizungumza nao wakati wa kufunga kikao kazi cha kujadili changamoto za utekelezaji wa Sheria, Kanuni na Miongozo ya Utumishi wa Umma.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene wakati wa kufunga kikao kazi cha kujadili changamoto za utekelezaji wa Sheria, Kanuni na Miongozo ya Utumishi wa Umma.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Bi. Hilda Kabissa (katikati) akijibu hoja zilizowasilishwa na Maafisa Sheria na Maafisa Rasilimaliwatu wakati wa kikao kazi cha kujadili changamoto za utekelezaji wa Sheria, Kanuni na Miongozo ya Utumishi wa Umma kilichofanyika jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA Serikalini, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Priscus Kiwango akiwasilisha mada kwa Maafisa Sheria na Maafisa Rasilimaliwatu kuhusu Mifumo ya TEHAMA Serikalini wakati wa kikao kazi cha kujadili changamoto za utekelezaji wa Sheria, Kanuni na Miongozo ya Utumishi wa Umma.

Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Taasisi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Nolasco Kipanda akiwasilisha mada kwa Maafisa Sheria na Maafisa Rasilimaliwatu kuhusu Muundo na mgawanyiko wa majukumu wakati wa kikao kazi cha kujadili changamoto za utekelezaji wa Sheria, Kanuni na Miongozo ya Utumishi wa Umma

Afisa Sheria, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Edwin Bilikundi akiwasilisha mada kwa Maafisa Sheria na Maafisa Rasilimaliwatu kuhusu utaratibu wa kuendesha mashauri ya nidhamu katika utumishi wa umma wakati wa kikao kazi cha kujadili changamoto za utekelezaji wa Sheria, Kanuni na Miongozo ya Utumishi wa Umma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wa Ofisi yake mara baada kufunga kikao kazi cha Maafisa Sheria na Maafisa Rasilimaliwatu kilichofanyika jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Sheria na Maafisa Rasilimaliwatu mara baada ya kufunga kikao kazi kilichofanyika jijini Dodoma

Na. Veronica Mwafisi-Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amewataka Maafisa Rasilimaliwatu na Maafisa Sheria kutoka katika Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri za Wilaya kutoa ushauri mahususi kwa Maafisa Masuuli wao ili kuepuka kuipa hasara Serikali.

“Ninajua kusimamia rasilimaliwatu sio jambo jepesi kwani linahitaji hekima na busara. Wapo baadhi ya Maafisa Masuuli ambao hawasikilizi na hawapendi kupokea ushauri wa kitaalamu  kutoka kwa maofisa wao na hivyo kutoa uamuzi kinyume na matakwa ya sheria na kanuni za Utumishi wa Umma, hivyo kuipa hasara Serikali” amesema Mhe. Simbachawene.

Mhe. Simbachawene ameongeza kuwa, iwapo sheria na kanuni za usimamizi wa rasilimaliwatu katika utumishi wa umma hautazingatiwa, utaondoa adhima ya Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwa na utumishi wa umma unaotenda haki na wenye kuwajibika kwa umma.

Aidha, amebainisha kuwa, taasisi za umma zinapokuwa na malalamiko mengi ya watumishi ni ishara kuwa watendaji wa ofisi hizo hawafanyi kazi ipasavyo hata kama lalamiko liko ndani ya uwezo wao. Hivyo, kitendo cha kupeleka malalamiko hayo katika ngazi za juu kwa utatuzi ni dhihaka kwa utawala.

Kwa upande wake Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi Bw. Juma Mkomi amesema Maofisa hao ni washauri wakuu wa Maafisa Masuuli katika taasisi zao, hivyo wanatakiwa kutoa ushauri kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu ili kuepuka kuumiza watumishi. 

Bw. Mkomi amewasihi maofisa hao kuhakikisha wanatatua matatizo ya watumishi wa umma kwa kuwasikiliza na wakati mwingine kuwaonya kwanza kuliko kuwafukuza katika utumishi wa umma. 

Awali, Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria katika Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi. Hilda Kabissa amesema kikao kazi hiki kimelenga kuwajengea uwezo Maafisa Rasilimaliwatu na Maafisa Sheria katika kutekeleza Sheria, Kanuni na Miongozo ya Utumishi wa Umma.

Amesema, anaamini mada zilizowasilishwa zimeeleka kwa vizuri na washiriki wameahidi kuzifanyia kazi mafunzo haya kwa umahiri mkubwa sana na kuhakikisha wanahimiza haki na wajibu kwa watumishi wa umma.

Ameongeza kuwa maofisa hao pamoja na mambo mengine wamepitishwa katika masuala ya maslahi ya watumishi, uzingatiaji wa maadili mahala pa kazi, mifumo ya TEHAMA Serikalini, kutambua mifumo ya upimaji wa utendaji kazi Serikalini, utaratibu wa kuendesha mashauri ya kinidhamu katika utumishi wa umma.

About the author

mzalendo