Featured Kitaifa

KIMBIJI WAPIGA KURA KATIKA UCHGUZI WA DIWANI

Written by mzalendo

 

Mkazi wa Mtaa wa Mikenge Kata ya Kimbiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam akipiga kura katika kituo cha wazi cha Serikali ya Mtaa Mikenge, kumchagua diwani wa Kata yake katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika leo tarehe 20 Machi, 2024. Wagombea Udiwani 14 wanachuana katika kuwania nafasi hiyo.

Mkazi wa Mtaa wa Kizito Huonjwa Kata ya Kimbiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam akipiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi Kimbiji, kumchagua diwani wa Kata yake katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika leo tarehe 20 Machi, 2024. . Wagombea Udiwani 14 wanachuana katika kuwania nafasi hiyo.

Mkazi wa Mtaa wa Ngobanya Kata ya Kimbiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam akipiga kura katika kituo cha Serikali ya Mtaa Ngobanya, kumchagua diwani wa kata yake katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika leo tarehe 20 Machi, 2024. . Wagombea Udiwani 14 wanachuana katika kuwania nafasi hiyo.

Mkazi wa Mtaa wa Bohari Kata ya Kimbiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam akipiga kura katika kituo cha wazi cha Serikali ya Mtaa Mikenge, kumchagua diwani wa Kata yake katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika leo tarehe 20 Machi, 2024. . Wagombea Udiwani 14 wanachuana katika kuwania nafasi hiyo. Kushoto ni mtu anaeruhusiwa kisheria kumsaidia mtu mwenye ulemavu macho au asiyejua kusoma na kuandika kupiga kura.(Picha na NEC).

About the author

mzalendo