Photos

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NCHINI

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Qatar nchini Fahad Rashid Al Muraikhi, katika Ofisi Ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam Machi 8.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Qatar nchini Fahad Rashid Al Muraikhi, katika Ofisi Ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam Machi 8.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea salamu za pole ya Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, kutoka Serikali ya Qatar, zilizotolewa na Balozi wa Qatar nchini Fahad Rashid Al Muraikhi, katika Ofisi Ndogo ya  Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam Machi 8.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo