Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

marsbahis

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

pusulabet

bets10

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Starzbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WATUMISHI WANAWAKE WA TCDC WAUNGANA NA WANAWAKE DUNIANI KWA KUPANDA MITI

Written by mzalendo

Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Specioza Segesela akiongoza Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) kupanda miti katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika eneo la Shule ya Msingi Amani Jijini Dodoma.

           ………….

Watumishi Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania wameungana na wanawake wengine wa Jiji la Dodoma katika kuadhimisha Siku ya Wanawake duniani ambayo huadhimishwa Machi 08 kila mwaka.

Maadhimisho hayo yaliyobeba kauli mbiu “Wekeza kwa Mwanamke: kuharakisha maendeleo ya Taifa na Ustawi wa jamii” yamefanyika leo tarehe 08 Machi katika Viwanj a vya Shule ya msingi Chinangali Wilayani Chamwino Jijini Dodoma. 

Katika kuadhimisha siku ya Wanawake duniani Wanawake wa TCDC wakiongozwa na Mkuu wa kitengo cha Ununuzi na Ugavi  Specioza Segesela  wameshiriki zoezi upandaji miti katika Shule ya msingi Amani iliyopo Wilaya ya Dodoma Mjini ikiwa ni kutimiza msingi wa saba  wa Ushirika ” Ushirika kujali jamii” katika kutunza mazingira.

Mkuu huyo amesema mazingira yanapotunzwa vizuri hutoa matokeo chanya yanayowezesha  Wanawake kuhudumia jamii kwa urahisi na kupata muda wa kuzalisha kipato. 

“Mazingira yakiwa mazuri mwanamke anapata muda kuhudumia familia atapata maji karibu, atashiriki kilimo na shughuli nyingine nyingi za uzalishaji”

Akifungua maadhimisho hayo Waziri wa Maendeleo ya Jamii,jinsia, wanawake na makundi maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akimwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa(M b)amesema kuwa; serikali inachukuwa jitihada mbalimbali za kuhakikisha kuwa wanawake wanapata fursa na haki sawa katika nyanja zote na kuondoa umaskini kwa wanawake na wasichana.

“Serikali inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuchukua jitihada mbalimbali za kuhakikisha kuwa wanawake wanapata fursa na haki sawa katika nyanja zote, pamoja na kuondoa umaskini kwa wanawake na wasichana na kuanzisha programu mbalimbali za kumuwezesha wasichana kuanzia sekondari hadi vyuo vikuu ili kumuwezesha mtoto wa kike kuwa mwanamke shupavu na mwenye uwezo”  amesema Dkt. Gwajima

Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani kitaifa hufanyika kila baada ya miaka mitano ; kwa upande wa Jiji la Dodoma hufanyika kila mwaka.

Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Specioza Segesela akiongoza Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) kupanda miti katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika eneo la Shule ya Msingi Amani Jijini Dodoma.

Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakishiriki Maandamano ya Siku ya Wanawake Duniani Wilaya ya Chamwino Jijini Dodoma

Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) wakiwa katika Picha ya Pamoja katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Amani wakishiriki na watumishi wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika katika zoezi la Upandaji miti katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Jijini Dodoma.

About the author

mzalendo