Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na familia ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni alipokwenda kuhani msiba, nyumbani kwao Migombani, Zanzibar tarehe 05 Machi, 2024. kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)