Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AMUAPISHA DKT. MATARAGIO KUWA NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI.

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Machi, 2024.

Dkt. James Peter Mataragio akila kiapo cha kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kumuapisha Dkt. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Machi, 2024.

About the author

mzalendo