marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet giriş

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

bets10

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

superbetin

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

celtabet

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

casibom

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

hitbet

tipobet giriş

betist

Featured Kitaifa

MHE.MNYEMA:ZINGATIENI MISINGI YA MAADILI

Written by mzalendo

 

Afisa Maadili kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kanda ya Mashariki  Bi. Zainab Kissoky akitoa mada kuhusu Maadili ya Viongozi wa Umma   katika mafunzo ya Maadili kwa Viongozi  kutoka Taasisi mbalimbali za Umma mkoani Tanga .Mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga tarehe 29 Februari,2024.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya maadili ambao ni viongozi kutoka Taasisi mbalimbali za Umma mkoani Tanga wakifuatilia kwa makini mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga tarehe 29 Februari,2024.

Katibu Msaidizi Idara ya Ukuzaji Maadili Bw. Salvatory Kilasara akitoa neno la ukaribisho katika mafunzo ya Maadili kwa Viongozi  kutoka Taasisi mbalimbali za Umma mkoani Tanga .Mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga tarehe 29 Februari,2024.

Kaimu Katibu Msaidizi Kanda ya Mashariki Bw, Seleman Seleman akitoa mada kuhusu  mgongano wa maslahi katika mafunzo ya Maadili kwa Viongozi  kutoka Taasisi mbalimbali za Umma mkoani Tanga .Mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga tarehe 29 Februari,2024.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhe. Pilli Manyema akifungua mafunzo ya Maadili  kwa Viongozi  kutoka Taasisi mbalimbali za Umma mkoani Tanga . Mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga tarehe 29 Februari,2024.

………………

Viongozi wa Umma  wameaswa kuzingatia misingi ya Maadili  ya Viongozi wa Umma katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku ili kuleta mchango wenye tija kwa serikali na wananchi kwa ujumla.

Hayo yalisemwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhe. Pili Mnyema alipofungua mafunzo ya Maadili kwa Viongozi  wa Taasisi mbalimbali za Umma mkoani Tanga. Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga tarehe 29 Februari,2024.

Akifungua mafunzo hayo Mhe. Mnyema alisema kuwa  ipo misingi ya Maadili inayomuongoza  kiongozi yeyote namna anavyopaswa kutenda na kuenenda wakati wa utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku misingi hiyo ni pamoja na Uadlifu, Uwazi, Uaminifu na ukweli, kuheshimu Sheria, Uwajibikaji, Haki na Kutopendelea, Kujiepusha na Mgongano wa Maslahi na mingine mingi.  

Mhe. Myema alieleza kuwa Dira ya Taifa  hususan kipengele cha utawala bora inasisitiza  kuwa  ifikapo    mwaka 2025 uadilifu uwe  sehemu ya utamaduni wa jamii ya Tanzania.” Kila wakati tumemsikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisisitiza umuhimu wa kuzingatia maadili hivyo sisi kama viongozi ni lazima tutii”

“Niwaase Viongozi wenzangu tuache mienendo isiyofaa  mfano matumizi mabaya ya rasilimali za nchi, ubadhilifu wa mali za umma ,kuomba na kupokea rushwa ama zawadi, kujilimbikizia mali na mengineyo yanayofanana na hayo na hii itatufanya kuwa waadilifu ili tuweze kwenda sawa na dira inayotuongoza” alisema.

Aidha Mhe. Myema  alitumia wasaa huo  kuwakumbusha viongozi hao  kuhusu  maelekezo mbalimbali ya Serikali  yanayohusu maadili na utawala Bora  kwamba kila kiongozi anapaswa kutanguliza maslah ya Taifa mbele badala ya  maslah yake binafsi, kiongozi anapaswa kushiriki katika kuimarisha utawala Bora nchini ili kutoa mchango wenye tija kwa maendeleo ya Taifa badala ya kuviachia vyombo vinavyosimamia Utawala Bora, Kila kiongozi awe mzalendo katika kusimamia miradi ya maendeleo ya Nchi na mengine mengi.

Awali  akimkaribisha mgeni rasmi, Katibu Msaidizi Idara ya Ukuzaji Maadili , Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Bw. Salvatory Kilasara alisema kuwa Sekretarieti ya Maadili imeandaa mafunzo hayo kwa Viongozi husika lengo likiwa ni kuwambusha juu ya dhana nzima ya maadili.

“Tunafahamu kuwa nyote hapa mna uelewa juu ya dhana nzima ya Maadili lakini binadamu tumeumbiwa kusahau hivyo  sisi kama Taasisi inayosimamia maadili kwa Viongozi wa Umma ni jukumu letu kutoa elimu hii mara kwa mara  hivyo tumekuja kuwakumbusha kufuata  sheria ,kanuni na taratibu za utumishi wa Umma mnapotekeleza majukumu yenu ya kila siku’’ alisema  

Bw, Kilasara alitumia fursa hiyo kuwaasa Viongozi hao kuwa mfano wa kuigwa kwa kutenda yale wanayohubiri kwa watumishi walio chini yao kwa kutenda yaliyo mema mfano matumizi na usimamizi mzuri wa rasilimali za nchi, matumizi ya lugha ya staha nk. Ili kujenga Imani kwa watumishi walio chini yao na jamii kwa ujumla.

“Viongozi wenzangu huwezi kuwa jasiri wa kusimamia maadili kwa  watumishi walio chini yako kama wewe sio muadilifu kama binadamu lazima uone haya, hivyo tuishi yale tunayoyahubiri” alisema

Mada mbalimbali ziliwasilishwa katika mafunzo hayo ya siku moja ambazo ni pamoja na mada kuhusu Mgongano wa Maslahi, mada kuhusu Maadili ya Viongozi wa Umma, mada kuhusu Mgongano wa Maslahi, mada kuhusu Maadili na Uwajibikaji katika Utumishi wa Umma, na mada kuhusu  mifumo ya kudhibiti rushwa, matumizi mabaya ya madaraka na mgongano wa maslahi. 

About the author

mzalendo