Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

https://guinguinbali.com/

boostaro review

NervEase

matbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

maritbet giriş

hiltonbet

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Betoffice

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

matbet, matbet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

meritking giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

hititbet

hititbet giriş

norabahis

pusulabet

grandpashabet giriş

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

hititbet

hititbet giriş

hititbet giriş

hititbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Meritking

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

madridbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

holiganbet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

bonus veren casino siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

betcio, betcio giriş

pokerklas, pokerklas giriş

betsat

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

betturkey

sweet bonanza

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

winxbet, winxbet giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

holiganbet giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

pusulabet

vdcasino

marsbahis

matbet

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

marsbahis

grandpashabet

holiganbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

perabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

casifix

robinbet

betkare

imajbet

betpark

betpark

bets10

Featured Kitaifa

YOLANDA WA SAVANNAH PLAINS HIGH SCHOOL AIBEBA TANZANIA KIMATAIFA

Written by Alex Sonna
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Shule ya Sekondari Savannah Plains  ni miongoni wa shule zinazofanya vizuri hapa Tanzania! Shule hii ya bweni ambayo sasa inang’ara pia katika anga za kimataifa ipo Ibadakuli katika Manispaa ya Shinyanga mkabala na barabara kuu ya Shinyanga – Mwanza!.
 
 
Hivi karibuni  Savannah Plains High School ilipata fursa ya kushiriki katika mashindano ya Mjadala na Kuongea kwenye Hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza (Johannesburg Summer Holiday Open Debate and Public Speaking Tournaments ) yaliyofanyika katika Jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini kuanzia Desemba 11 hadi 19, 2023.
 
Mratibu wa Kiingereza na Mkuu wa Idara ya Lugha katika Shule ya Sekondari Savannah Plains,  Josephine Kinyunyi ambaye ndiye aliyeenda Afrika Kusini na wanafunzi kwa ajili ya mashindano hayo anasema shule sita kutoka Tanzania zilishiriki lakini shule pekee kutoka Tanzania iliyoweza kufika Fainali ni Savannah Plains ikiwakilishwa na mwanafunzi Yolanda Thomas Henjelewe ambaye alikuwa mshindi wa kwanza kutoka Tanzania, mshindi wa tatu kutoka Afrika Mashariki na mshindi wa tano wa Afrika.
Walimu na wanafunzi wa shule ya Sekondari Savannah Plains wakiwa na wanafunzi walioshiriki mashindano ya Mjadala na Kuongea kwenye Hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza Afrika Kusini.
 
“Lakini pia katika 10 bora tulikuwa na wanafunzi wetu wanne kutoka Savannah, ukizingatia kwamba Savannah ndiyo shule pekee ya Tanzania iliyopata uwakilishi kwenye Fainali. Baada ya mashindano tulipewa Tuzo ya The Best Speaker from Tanzania, the Third Speaker From East Africa, na Fifth Speaker from Africa na kwa ujumla tulipewa Tuzo ya The Best Public Speaking School from Tanzania (The Best Tanzanian School – The Johannesburg International Summer Holiday Open – SHO”, anaeleza Josephine.
 
 
SAFARI YA KWENDA AFRIKA KUSINI ILIANZAJE?
 
 
“Tulikuwa shule sita kutoka Tanzania lakini katika Kanda ya Ziwa ilikuwa Savannah Plains High School, tulisafiri na wanafunzi 18 ambapo kati ya wanafunzi 18 tulipata nafasi ya kushiriki Afrika Kusini baada ya kuwa tumeshiriki mashindano ya Mwalimu J.K. Nyerere ya Mjadala na kuongea kwenye hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza (Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Debate and Public Speaking Tournaments) yaliyofanyika Oktoba 14,2023 jijini Dar es salaam kwa ajili ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere yaliyokuwa na shule za Tanzania, Kenya Uganda na Zanzibar”,amesema Josephine.
Mratibu wa Kiingereza na Mkuu wa Idara ya Lugha katika Shule ya Sekondari Savannah Plains, Josephine Kinyunyi.
 
Ameongeza kuwa baada ya kuwa wameshiriki wanafunzi kwenye mashindano hayo, wanafunzi wao walifanya vizuri sana ambapo Mwanafunzi wao ambaye ni Yolanda Thomas Henjewele alishinda kwenye kipengele cha kuongea kwenye hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza (Public Speaking) hivyo basi ikawa imewapa tiketi ya kushiriki mashindano ya Afrika ya Mjadala na Kuongea kwenye Hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza yaliyofanyika Afrika Kusini.
 
 
“Katika Mwalimu J.K. Nyerere ya Mjadala na kuongea kwenye hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza yaliyofanyika Dar es salaam,tulienda na wanafunzi 10 ambapo kati ya wanafunzi hao 10, wanafunzi wetu watano waliingia katika robo, nusu na fainali, tulivyofika Afrika Kusini tulikuwa na nchi za Afrika karibia zote ikiwemo Kenya, Uganda, Rwanda, Nigeria, Afrika Kusini, Botswana nk ambapo kulikuwa na washiriki zaidi ya 500 kutoka nchi za Afrika”,anabainisha Josephine.
 
“Kutoka Tanzania tulikuwa na shule sita lakini shule pekee kutoka Tanzania iliyoweza kufika Fainali na Savannah Plains ikiwakilishwa na mwanafunzi Yolanda Henjelewe ambaye alikuwa mshindi wa kwanza kutoka Tanzania, mshindi wa tatu kutoka Afrika Mashariki na mshindi wa tano wa Afrika na wanafunzi wanne kutoka Savannah waliingia kwenye 10 bora”,amesema.
Nao wanafunzi walioshiriki mashindano hayo, akiwemo Yolanda Thomas Henjewele na Allan Kabaya wamesema mashindano hayo nchini Afrika Kusini yamewapa fursa ya kujifunza na kukutana na watu mbalimbali kutoka barani Afrika.
 
“Mashindano yalikuwa mazuri sana,tulijifunza vitu vingi vizuri, tumepata Exposure, tumepata uzoefu wa kuongea kwenye hadhara kubwa yenye washiriki zaidi ya 500,tumekutana na wanafunzi kutoka shule mbalimbali barani Afrika, tumebadilishana mawazo,uzoefu na kujifunza vitu mbalimbali ikiwemo elimu na maisha kwa ujumla”,amesema Yolanda mshindi wa kwanza kutoka Tanzania, mshindi wa tatu kutoka Afrika Mashariki na mshindi wa tano wa Afrika.
 
 
“Tulijiandaa vizuri kushiriki kwenye mashindano, tumerudi na ushindi, tumeandika historia, tumejifunza pia masuala ya usafi na kujituma zaidi. Tunaishukuru shule hii kwa kuwapa fursa mbalimbali wanafunzi, hii ni shule nzuri ina mambo mengi mazuri”,anaongeza Mwanafunzi wa kidato cha pili Allan Kabaya aliyeshiriki mashindano hayo akiwa kidato cha kwanza.
 
Kwa upande wake, Mkuu wa Shule ya Sekondari Savannah Plains, Yona Ludomya ametoa wito kwa serikali, wazazi na jamii kwa ujumla waendelee kushirikiana na shule hiyo kwani huo ulikuwa mwanzo tu na hivi karibuni watashiriki Mashindano ya Ubingwa wa Dunia wa Mjadala na Kuongea kwenye hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza (World Championship Debate and Public Speaking Tournaments) yatakayofanyika Jijini Nairobi, Kenya.
 
“Kwa niaba ya Mkurugenzi wetu Hamad Hilal Hamad kwanza tunawashukuru sana wazazi kwa jinsi walivyoitikia kutuamini kwamba tupo katika utoaji elimu bora, hivyo tukachukua watoto wao kwa makubaliano tukawachukua kuwapeleka Afrika Kusini kwa ajili ya ziara ya kimasomo.Tulikwenda kushiriki na tukarudi washindi”,amesema Ludomya.
 
“Pia kwa niaba ya uongozi wa shule tunaishukuru sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ngazi zote kwa sababu taarifa hizi tulianza kuzitafutia mamlaka ya ruhusa kuanzia ngazi ya chini mpaka kitaifa. Kwa kweli tumeshirikiana vizuri sana na serikali mpaka kuwatoa wanafunzi hapa na kuwafikisha Afrika Kusini na kuwarudisha na kwa mafanikio tuliyoyapata”,ameongeza Mkuu huyo wa shule.
 
Katika hatua nyingine amesema miongoni mwa mambo yanayoifanya Savannah Plains High school iwe shule ya kipekee ni kwamba inaongozwa na maadili bora kwa walimu na wanafunzi, taaluma bora, mazingira rafiki ya kujifunzia kwa mwanafunzi wa aina yoyote wakiwemo wenye mahitaji maalum, malezi mazuri na huduma za afya ikiwemo lishe bora kwa walimu na wanafunzi.
 
 
Michepuo inayotolewa Savannah Plains High School ni PCM,PCB, PGM, HGE, EGM, HGL,HGK, HKL na ECA.
 
Mratibu wa Kiingereza na Mkuu wa Idara ya Lugha katika Shule ya Sekondari Savannah Plains ,Josephine Kinyunyi akiwa na wanafunzi walioshiriki mashindano ya Mjadala na Kuongea kwenye Hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza (Johannesburg Summer Holiday Open Debate and Public Speaking Tournaments )
Mratibu wa Kiingereza na Mkuu wa Idara ya Lugha katika Shule ya Sekondari Savannah Plains, Josephine Kinyunyi akielezea kuhusu  mashindano ya Mjadala na Kuongea kwenye Hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza (Johannesburg Summer Holiday Open Debate and Public Speaking Tournaments ) yaliyofanyika katika Jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini
Mkuu wa Shule ya Sekondari Savannah Plains, Yona Ludomya akielezea mambo mbalimbali yanayofanyika katika shule hiyo
Mkuu wa Shule ya Sekondari Savannah Plains, Yona Ludomya akielezea mambo mbalimbali yanayofanyika katika shule hiyo
 Tuzo zilizotolewa kwa Shule ya Sekondari Savannah Plains baada ya kushiriki mashindano ya Mjadala na Kuongea kwenye Hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza
 Tuzo iliyotolewa kwa Shule ya Sekondari Savannah Plains baada ya kushiriki mashindano ya Mjadala na Kuongea kwenye Hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza (Johannesburg Summer Holiday Open Debate and Public Speaking Tournaments )
Mwanafunzi Yolanda Thomas Henjewele akielezea alivyoshiriki  mashindano ya Mjadala na Kuongea kwenye Hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza (Johannesburg Summer Holiday Open Debate and Public Speaking Tournaments )
Mwanafunzi Allan Kabaya akielezea alivyoshiriki mashindano ya Mjadala na Kuongea kwenye Hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza (Johannesburg Summer Holiday Open Debate and Public Speaking Tournaments)
Walimu na wanafunzi wa shule ya Sekondari Savannah Plains wakifurahia tuzo za mashindano ya Mjadala na Kuongea kwenye Hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza
Walimu na wanafunzi wa shule ya Sekondari Savannah Plains wakiwa na tuzo na vyeti vya kushiriki mashindano ya Mjadala na Kuongea kwenye Hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza
Walimu na wanafunzi wa shule ya Sekondari Savannah Plains wakifurahia tuzo na vyeti vya kushiriki mashindano ya Mjadala na Kuongea kwenye Hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza
Walimu wa shule ya Sekondari Savannah Plains wakifurahia tuzo za mashindano ya Mjadala na Kuongea kwenye Hadhara kwa kutumia lugha ya Kiingereza
Walimu na wanafunzi wa shule ya Sekondari Savannah Plains wakipiga picha ya kumbukumbu.

About the author

Alex Sonna