marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

anadoluslot

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

savoycasino

https://letsrelaxspa.today/

boostaro review

casibom giriş

betticket

NervEase

Çanakkale Escort

Denizli Escort

Samsun Escort

jojobet giriş

grandpashabet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

cratosroyalbet

casibom

dizipal

1xbet

1xbet

holiganbet giriş

marsbahis

ngsbahis

mavibet

parmabet

mislibet

norabahis

artemisbet

nitrobahis

betpuan

bets10

betasus giriş

Featured Kitaifa

WATUMISHI WAMETAKIWA KUSHIRIKIANA ILI KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Written by Alex Sonna

Na WAF – Dodoma

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amewataka watumishi katika sekta ya Afya nchini kufanya kazi kama timu na kudumisha ushirikiano ili kuzidi kuimarisha na kuongeza ufanisi na tija katika utoaji wa huduma bora kwa Watanzania.

Dkt. Jingu ameyasema hayo leo tarehe 24, 2024 jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kikazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma ili kukagua utendaji kazi na kuzungumza na watumishi wa hospitali hiyo ambapo ameambatana na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu na Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt. Best Magoma.

“Kwenye timu kuna namba tofauti tofauti, hapa tuna madaktari, wauguzi, wahudumu, watu wa utawala kila mmoja ana jukumu lake, tufanye kazi kama timu maana hii Hospitali yetu hata kama ina rasilimali nzuri kiasi gani kama hamfanyi kazi kama timu basi hamtaweza kufanya vizuri. Amesema Dkt. Jingu.

Dkt. Jingu ameelekeza Hospitali, zahanati na vituo vya kutolea huduma za afya nchini kuimarisha huduma kwa mteja na kuunda mfumo wa dawati la kusikiliza maoni, kero na malalamiko kwa wateja na kuwa na watoa huduma wenye weledi wenye kutumia lugha nzuri za staha pamoja na kulinda na kuzingatia haki za wagonjwa ikiwemo kutunza siri za wagonjwa .

Ni jukumu la kila mtumishi kuwahudumia wagonjwa sawa sawa kwa sababu tunategemea kila anaekuja kupata huduma ni mgonjwa hivyo huenda akawa na hasira ila unatakiwa kumuhudumia na kumpokea vizuri na nilitoa maelekezo kwa Hospitali zetu zote kuanzishwa kwa dawati la kusikiliza maoni, kero na malalamiko ya wateja ambalo linaonekana na kufikika na watoa huduma muda wote na wenye weledi na watakao kuwa na lugha za staha zinazozingatia mila na desturi zetu za kitanzania ikiwemo kutunza siri za wagonjwa”. Amesema Dkt. Jingu.

Dkt. Jingu amepongeza watumishi wa Hospitali hiyo kwa ubunifu wa utoaji wa huduma bora na nzuri wagonjwa, usafi wa mazingira ya hospitali na ushirikiano walioutoa wakati wa janga la maporomoko ya Wilaya ya Hanang.

”Niwapongeze kwa ubunifu mlioufanya katika kila kitengo kuhakikisha huduma zote zinapatikana na kujitosheleza”.

Awali akizungumza Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Tumaini Nagu amepongeza kwa huduma bora zinazotolewa na watumishi wa hospitali hiyo hasa katika huduma za Uzazi na kuwataka watumishi kuzidi kuongeza umakini na kuwepo kwa miongozo na taratibu ya utekelezaji wa majukumu yao katika vitengo vyote vya kutolea huduma ili kupunguza makosa ya kitabibu.

About the author

Alex Sonna