Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

mislibet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

tarafbet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

jojobet güncel giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Deneme Bonusu

galabet

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

mobilbahis

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

artemisbet

kavbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

zirvebet

kavbet giriş

goldenbahis giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

marsbahis giriş

kingroyal

jojobet

jojobet

trust score weak 3

pusulabet

ikimisli

stake giriş

jojobet güncel

jojobet adres

casibom

realbahis

ikimisli

queenbet

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

jojobet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

galabet giriş

galabet

betpas

1xbet giriş

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

superbetin

meritking

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

cratosroyalbet

stake

bets10 güncel giriş adresi

tempobet

jojobet giriş

perabet

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

alobet, alobet giriş

google

piabet

piabet

marsbahis

dental implants turkey

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

sonbahis

amgbahis

esbet

casinowon

mercurecasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

ikimisli

queenbet

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

casibom giriş

casibom

mavibet

meritking giriş

meritking

marsbahis

betsmove

betsmove

mavibet

holiganbet giriş

jojobet

goldenbahis

holiganbet

galabet

holiganbet

mislibet

casibom

tambet

Hacklink panel

betturkey

meritking

google giir

Marsbahis

madridbet

realbahis

casibom giriş

royalbet

jojobet giriş

royalbet

casibom giriş

casibom giriş

casibom

merit

bahsegel

bahsegel giriş

galabet

galabet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking

truvabet

betgaranti

betoffice

piabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

jojobet

galabet

galabet

stresser

free stresser

ip stresser

stresser test

free ip stresser

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas

betine

jojobet

betvole

betvole

betkolik

betkolik

betplay

betplay

aresbet

aresbet

alfabahis

alfabahis

gobahis

gobahis

livebahis

livebahis

atlasbet

atlasbet

ultrabet

ultrabet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

coinbar

coinbar

elitcasino

elitcasino

bahisfair

bahisfair

gonebet

gonebet

betovis

betovis

Featured Kitaifa

DKT. BITEKO AENDELEA NA UKAGUZI WA VYANZO VYA UMEME NCHINI

Written by mzalendo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akizungumza mara baada ya kukagua Bwawa la umeme la Kidatu mkoani Morogoro.

……..

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameendelea na ziara ya kukagua vyanzo mbalimbali vya uzalishaji umeme nchini ambapo leo amekagua Bwala la kuzalisha umeme la Kidatu ( 204 MW) na Kihansi ( 180 MW)  mkoani Morogoro.

Lengo la ziara hiyo ni kujihakikisha hali halisi ya uwepo wa maji kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme nchini pamoja kukagua mitambo ya kuzalisha umeme.

Baada ya kukagua  Bwawa la Kidatu na Kihansi pamoja na mitambo ya kuzalisha umeme, Dkt. Biteko amesema kuwa, mabwawa ya Mtera, Kihansi na Kidatu yana maji ya kutosha kuweza kuzalisha umeme huku tumaini jingine kubwa likiwa ni umeme kutoka mradi wa Julius Nyerere (JNHPP) ambao muda wowote unatarajia kuingiza megawati 235 katika Gridi ya Taifa.

“Nafurahi kuwaambia kwamba changamoto tuliyonayo ya umeme imefika mwishoni sana hivyo Watendaji wa TANESCO ni wakati pia wa kushughulikia changamoto nyingine ambazo baadhi ya wananchi wanazipata ikiwemo ya kutotoa huduma kwa wakati na pia ukarabati wa mitambo ufanyike kwa wakati.” Amesema Dkt. Biteko.

Katika hatua nyingine, Dkt. Biteko amekataza Watendaji wa TANESCO kwenda likizo kipindi cha changamoto za umeme na badala yake wajikite katika kutatua changamoto hizo na katika hilo ameagiza Uongozi wa juu wa TANESCO kumchukulia hatua za kinidhamu Meneja wa  TANESCO Mkoa wa Morogoro  ambaye amechukua likizo katika kipindi hiki ambacho Serikali inapambana kutatua changamoto za umeme.”

Niliposema TANESCO hamtolala kipindi cha mgawo wa umeme nilimaanisha kuwa kila mtu awepo kwenye kituo chake cha kazi, sisi wenyewe tunahangaika kutatua changamoto za umeme halafu baada ya  kufika hapa nimeshangazwa kuona Meneja wa Mkoa ambaye alipaswa kuwepo kituoni wakati wa changamoto amechukua likizo, hivyo nimewaelekeza watendaji wa TANESCO hakuna kwenda likizo kuanzia sasa.” Amesema Dkt. Biteko.

Amesema kuwa, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa kila rasilimali kwa ajili ya kuwapatia watanzania umeme hivyo viongozi na watendaji wa Wizara hawatakuwa kikwazo cha kumkwamisha.

Ameeleza kuwa, kwa sasa kutakuwa na ushirikiano kati ya Wizara ya Nishati na Wizara ya Maji katika kulinda vyanzo vya maji na kwamba itatengenezwa timu ya pamoja ya Serikali kuhakikisha kwamba vyanzo vyote vya maji vinavyoleta umeme vinalindwa kwa gharama yoyote na wote wanaovamia vyanzo hivyo watachukuliwa hatua.

Vilevile. Dkt. Biteko ameiagiza TANESCO kuhahakisha kuwa wakazi wanaozunguka Bwawa la Umeme la Kidatu wanapatiwa umeme wa uhakika ili waone faida ya kulitunza bwawa hilo kimazingira na pia kuwa walinzi wa Bwawa hilo.

“Wakazi wa Kilombero walioko karibu na bwawa hili waondolewe kwenye mgao, haiwezekani wao wanalitazama na kulinda bwawa, lakini hawana umeme; alisema Dkt. Biiteko na kuwaelekeza wataalam kuumiza vichwa na kuja na mwarobaini.

Kuhusu suala la maji kukatika kwenye  baadhi ya maeneo ambapo Mamlaka za Maji zimekuwa zikisema kwamba sababu ni changamoto ya umeme huku wakati mwingine umeme ukiwepo, Dkt. Biteko ameelekeza kuwa umeme usiwe chanzo cha kujificha kwenye utendaji kazi na kwamba kila mtu ajikite kwenye kutoa huduma bora kwa watanzania.

Kwa upande wake, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amewataka watendaji wa Sekta za Nishati na Maji kuacha visingizio wakati wa utendaji kazi na wasizoee shida za wananchi na kuongeza kuwa sekta hizo zinategemeana hivyo ni lazima zishirikiane.

Amesema kuwa, Wizara yake, kupitia mabonde ya Maji yote 9 watakuwa mstari wa mbele katika kutunza na kulinda rasilimali ya maji.Ameongeza kuwa,  suala la utunzaji na ulindaji wa vyanzo vya maji ni jambo shirikishi hivyo Wizara ya Maji na Wizara nyingine kama Mifugo, Nishati na Mazingira lazima zishikamane kulitekeleza.

Pia ametaka Maafisa katika Mabonde ya Maji nchini kutokukaa maofisini bali jukumu lao ni kusimamia vyanzo vyote vya maji kwa ukaribu na washirikishe wananchi na viongozi kwenye maeneo wanayosimamia.

About the author

mzalendo