Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI SANGU AIELEZA ILO MAMBO SITA YANAYOIPAISHA TANZANIA KATIKA SEKTA YA KAZI 

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu akizingumza katika Mkutano Mkuu wa 114 wa Shirika la Kazi Duniani ( ILO), leo Juni 5, 2026, Jijini Geneva, Uswisi.

Na: OWM (KAM) – Geneva, Uswisi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amebainisha mambo sita makubwa ambayo Tanzania imeendelea kuyatekeleza katika kuimarisha sekta ya kazi, ajira na ustawi wa wafanyakazi, hatua zinazoiwezesha nchi kwenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia duniani.

Mhe.Sangu ameyasema hayo Juni 5, 2026 Mjini Geneva, Uswisi katika Mkutano Mkuu wa 114 wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) unashirikisha wawakilishi wa Serikali, Waajiri na Wafanyakazi kutoka nchi wanachama 187.

Waziri Sangu ametaja mambo hayo ni pamoja na dhamira ya Tanzania chini ya uongozi wa Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha mabadiliko ya kiteknolojia yanakuza kazi zenye staha, tija, ubunifu na haki ya kijamii kupitia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. 

Ameeleza kuwa mageuzi hayo yameongeza ushiriki wa wanawake, vijana na wananchi wa vijijini katika huduma za kifedha na shughuli za kiuchumi huku Serikali Mtandao ikiimarisha uwazi, uwajibikaji na ufanisi wa utoaji huduma.

Pia amesema Tanzania imeendelea kulinda haki za wafanyakazi katika mazingira ya kidijitali kupitia uzinduzi wa Mpango wa Taifa wa Kazi Zenye Staha (NDWCP III), pamoja na kuimarisha usalama na afya mahali pa kazi kwa kutekeleza mpango wa Vision Zero na mifumo mingine ya ulinzi wa kazi.

Sangu ametaja jambo la tatu kuwa ni kuimarishwa kwa mifumo ya hifadhi ya jamii kupitia Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii ya mwaka 2023, ambapo zaidi ya wanachama 560,000 wa sekta isiyo rasmi na wanaojiajiri wamefikiwa kupitia usajili wa kidijitali kufikia Machi 2026.

Amesema jambo la nne ni kuanzishwa kwa mfumo wa kielektroniki wa “e-UTATUZI” unaotumiwa na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), ambao umeboresha usimamizi wa migogoro ya kazi kwa kurahisisha wafanyakazi na waajiri kufungua malalamiko na kuwasilisha mashauri mtandaoni kutoka sehemu yoyote nchini.

Jambo la tano ni kuimarishwa kwa mazungumzo ya kijamii ya pande tatu kupitia ushirikiano kati ya Serikali, waajiri na wafanyakazi, hatua iliyowezesha kuwepo kwa kiwango cha chini cha mishahara kwa sekta binafsi kuanzia Januari 1, 2026 pamoja na marekebisho ya sheria za kazi yaliyofanyika mwaka 2025.

Aidha, jambo la sita ni kuendelea kwa ushirikiano kati ya Tanzania na Shirika la Kazi Duniani (ILO) katika kuhakikisha matumizi ya Teknolojia ya Akili Bandia (AI) yanachochea maendeleo endelevu, ujumuishi, haki ya kijamii na ukuaji wa uchumi unaowanufaisha wananchi wote.

Mhe. Sangu amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na wadau wa kazi wa ndani na wa kimataifa ili kuhakikisha maendeleo ya teknolojia yanatumika kuboresha mazingira ya kazi, kuongeza tija na kuimarisha ustawi wa wafanyakazi nchini.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu akizingumza katika Mkutano Mkuu wa 114 wa Shirika la Kazi Duniani ( ILO), leo Juni 5, 2026, Jijini Geneva, Uswisi.

Sehemu ya Ujumbe kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia maelezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu (hayupo pichani) katika Mkutano Mkuu wa 114 wa ILO unaofanyika Jijini Geneva, Uswisi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu akipongezwa na Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa Nchini Uswisi, Mhe. Dkt. Abdallah Possi mara baada ya kutoa tamko la Serikali ya Janhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano Mkuu wa Shirika la Kazi Duniani (ILO), leo Juni 5, 2026, Jijini Geneva, Uswisi.

About the author

Alex Sonna