slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

betgar, betgar giriş

betorbet, betorbet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

holiganbet

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

capitolbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

meritbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

cratosroyalbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

perabet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

madridbet

holiganbet giriş

jojobet giriş

trust score weak 3

marsbahis

bets10 giriş

slot siteleri

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

kulisbet, kulisbet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

royalbet

Goldenbahis

taraftarium24

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

marsbahis

vdcasino

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

Featured Kitaifa

WATENDAJI WA UCHAGUZI WAHIMIZWA KUWASHIRIKISHA WADAU

Written by mzalendo

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele  akizungumza leo wakati wa kufungua mafunzo ya siku tatu ya watendaji wa uchaguzi katika uchaguzi mdogo wa Kata 23 unaotaraji kufanyika Machi 20,2024. Mafunzo hayo ya watendaji wa uchaguzi yanayofanyika Mkoani Morogoro.

Watendaji wa uchaguzi  wanaohudhuria mafunzo ya siku tatu yaliyoanza leo Februari 20,2024 hadi Februari 23,2024 wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi aliyekua akifungua mafunzo hayo Mkoani Morogoro.

Watendaji wa uchaguzi  wanaohudhuria mafunzo ya siku tatu yaliyoanza leo Februari 20,2024 hadi Februari 23,2024 wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi aliyekua akifungua mafunzo hayo Mkoani Morogoro.

Watendaji wa uchaguzi  wanaohudhuria mafunzo ya siku tatu yaliyoanza leo Februari 20,2024 hadi Februari 23,2024 wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi aliyekua akifungua mafunzo hayo Mkoani Morogoro.

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, Mhe. Aisha Hassan Waziri akiwaapisha watendaji wa Uchaguzi watakaoshiriki katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani wa Kata 23 za Tanzania bara. Watendaji hao wamekula kiapo cha kutunza Siri na kujitoa uanchama wakati wa mafunzo yao ya siku tatu yanayofanyika Mkoani Morogoro kuanzia leo Februari 20 hadi 23,2024.

Watendaji wa Uchaguzi watakaoshiriki katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani wa Kata 23 za Tanzania bara wakila kiapo cha kutunza Siri na kujitoa uanchama wakati wa mafunzo yao ya siku tatu yanayofanyika Mkoani Morogoro kuanzia leo Februari 20 hadi 23,2024. 

************

Na
Mwandishi wetu, Morogoro

Watendaji
wa uchaguzi kwenye uchaguzi mdogo wa kata 23 za Tanzania Bara uliotangazwa hivi
karibuni na Tume ya Taifa ya Uchaguzi wametakiwa kuwashirikisha kwa ukaribu
wadau wa uchaguzi kwenye maeneo yao.

Wito
huo umetolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa)
Jacobs Mwambegele  leo Februari 20, 2024
wakati akifungua mafunzo ya watendaji wa uchaguzi yanayofanyika Mkoani
Morogoro.

Uchaguzi
huo utafanyika  Machi 20, 2024 ambapo fomu
za uteuzi zitatolewa kuanzia  Februari 27,
2024 hadi Machi 4, 2024, uteuzi wa wagombea utafanyika Machi 4, 2024 na kampeni
za uchaguzi zitafanyika kuanzia Machi 5 hadi 19, 2024.

“Napenda
niwakumbushe na kuwasisitiza kuwa, wakati wote wa mchakato wa uchaguzi , ni
vema mkavishirikisha kwa karibu vyama vya siasa na wadau wengine wa uchaguzi
katika maeneo yenu kuhusu masuala ya kiuchaguzi ambayo wanastahili
kushirikishwa kwani jambo hilo litawarahisishia 
utekelezaji wa majukumu yenu,” amesema Jaji Mwambegele.

Pia,
amekumbusha juu ya umuhimu wa kuvipatia vyama vya siasa orodha ya vituo vya
kupigia kura ili kuviwezesha kupanga mawakala.

Ameongeza
kuwa ni muhimu kwa watendaji hao wa uchaguzi, kuhakikisha wanayatambua na
kuyajua  vyema maeneo ambayo uchaguzi
utaendeshwa ikiwemo miundombinu ya kufika katika kata na vituo vya kupigia
kura.

Jaji
Mwambegele alisisitiza kuhusu umuhimu wa kufanya utambuzi na kukagua  vituo vya kupigia kura mapema ili kubaini
mahitaji maalum ya vituo husika kwa lengo la 
kuhakikisha mpangilio mzuri ambao utaruhusu uchaguzi kufanyika kwa
utulivu na amani.

Mwenyekiti
huyo wa Tume amekumbusha juu ya wajibu wa kuhakikisha kwamba watendaji wa vituo
watakao ajiriwa wanakuwa watu wenye weledi na wanaojitambua.

“Tuachane
na upendeleo kwa ndugu na jamaa ambao hawana sifa za kufanya shughuli za
uchaguzi,” amesema Jaji Mwambegele.

 “Mhakikishe siku ya uchaguzi mnaweka utaratibu
utakaowezesha kila kituo cha kupigia kura kinafunguliwa saa 1:00 asubuhi na kufanya
mawasiliano na Tume pale ambapo utahitajika ushauri kuhusiana na masuala ya
uchaguzi,” Jaji Mwambegele aliwasisitiza watendaji hao.

Aliwakumbusha
kuwa uchaguzi ni jambo la kisheria na kwamba sheria na taratibu zikifuatwa ndio
msingi wa uchaguzi kuwa mzuri, wenye ufanisi na hivyo kupunguza kama siyo
kuondoa kabisa malalamiko au vurugu wakati wote wa mchakato wa uchaguzi.

“Nachukua
nafasi hii kuwaasa kuwa pamoja na uzoefu ambao baadhi yenu mnao katika
uendeshaji wa  uchaguzi, mhakikishe
mnazingatia maelekezo mtakayopewa na Tume badala ya kufanya kazi kwa mazoea.
Hata kama umeshasimamia chaguzi kadhaa hapo nyuma, lakini uchaguzi huu mdogo
unaojumuisha kata 23 haujawahi kuusimamia,” amesema.

Kata
zitakazofanya uchaguzi huo mdogo ni Kimbiji (Halmashauri ya Manispaa ya
Kigamboni), Kasingirima (Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma/Ujiji), Ndevelwa
(Halmashauri ya Manispaa ya Tabora), Msangani (Halmashauri ya Mji Kibaha),
Fukayosi   (Halmashauri ya Wilaya ya
Bagamoyo), Mlanzi (Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti), Utiri (Halmashauri ya Mji
Mbinga) na Mbingamhalule (Halmashauri ya Wilaya ya Songea).

Nyingine
ni  Isebya (Halmashauri ya Wilaya ya
Mbogwe), Kibata (Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa),          Mshikamano (Halmashauri ya Wilaya ya Musoma), Busegwe
(Halmashauri ya Wilaya ya Butiama), Nkokwa (Halmashauri ya Wilaya ya Kyela),
Kamwene (Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba), Chipuputa (Halmashauri ya Wilaya ya
Nanyumbu), Buzilasoga (Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema), Mhande (Halmashauri
ya Wilaya ya Kwimba), Kabwe (Halmashauri ya Nkasi), Bukundi (Halmashauri ya
Wilaya ya Meatu) Mkuzi (Halmashauri ya Wilaya ya Muheza) na Boma, Mtimbwani na
Mayomboni (Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga).

About the author

mzalendo