Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKIONGOZA WATANZANIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA HAYATI LOWASSA

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewasili katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam ambapo anawaongoza Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa. Tarehe 13 Februari 2024.

About the author

mzalendo