Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA FCC KWA UTENDAJI KAZI WAKE

Written by mzalendo

 

MWENYEKITI wa kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi,Mhe.Deo Mwanyika akieleza jambo wakati wa  semina ya kamati hiyo ya kuwajengea uelewa wabunge kuhusu utendaji kazi wa Tume ya Ushindani (FCC) iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

NAIBU  Waziri wa Viwanda na Biashara,Mhe Exaudi Kigahe, akichangia jambo wakati wa  semina ya kamati  ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi ya kuwajengea uelewa wabunge kuhusu utendaji kazi  wa Tume ya Ushindani (FCC) iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC) BW.William Erio ,akiwasilisha mada kwa kamati  ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi wakati wa Semina ya kuwajengea uelewa wabunge kuhusu utendaji kazi wa Tume ya Ushindani (FCC) iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

WAJUMBE wa Kamati  ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi ikifatilia  Semina iliyotolewa kwa kamati hiyo ya kuwajengea uelewa wabunge kuhusu utendaji kazi wa Tume ya Ushindani (FCC) iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

MJUMBE  wa Kamati  ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi Prof.Sospeter  Muhongo,akitoa maoni kuhusu utendaji kazi wa Tume ya Ushindani (FCC) wakati wa Semina ya wabunge iliyotolewa kwa Kamati hiyo na FCC iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

MJUMBE  wa Kamati  ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi Dkt.Medard  Kalemani ,akitoa maoni kuhusu utendaji kazi wa Tume ya Ushindani (FCC) wakati wa Semina ya wabunge iliyotolewa kwa Kamati hiyo na FCC iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC) BW.William Erio,akizungumza na Waandishi wa habari mara baada ya kutoa Semina kwa  kamati  ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi ya kuwajengea uelewa wabunge kuhusu utendaji kazi wa Tume ya Ushindani (FCC) iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

Na.Bolgas Odilo-DODOMA

KAMATI ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi imeridhishwa na utendaji kazi wa Tume ya Ushindani (FCC) ili kufikia azma ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuweka mazingira mazuri ya biashara nchini.

Pongezi hizo zimetolewa leo Februari 11,2024 na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe.Deo Mwanyika mara  baada ya kupokea wasilisho la utendaji kazi wa FCC bungeni jijini Dodoma.

Amesema kuwa Kamati inatoa pongezi kwa Tume ya Ushindani (FCC) kwa kuendelea kudhibiti bidhaa bandia nchini.

“Kamati tunapongeza hatua zinazochukuliwa na Tume hiyo katika kudhibiti bidhaa bandia kwa kushirikiana na taasisi zingine na kuwaasa watanzania kuendelea kutoa ushirikiano ili kuondoa bidhaa hizo.”amesema Mhe.Mwanyika

Hata hivyo Mhe.Mwanyika amesema kuwa  kamati hiyo itaendelea kutoa ushauri kwa serikali ili kufikia maono ya Rais ya kuchochea uchumi na kuongeza wawekezaji nchini.

“Tunashauri sheria ile iliyounda Tume hii ifanyiwe maboresho kutokana na maeneo mengi teknolojia imebadilika na idadi ya wawekezaji wa ndani na nje imeongezeka tangu Rais Samia ameingia madarakani,”amesema

Naye, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaudi Kigahe, amesema Tume hiyo inapanga kusaidia kudhibiti biashara feki kwa kuwa bado kuna changamoto kubwa inahitajika kufanya kazi ya ziada.

Awali, Mkurugenzi Mkuu wa FCC, Bw.William Erio,amesema kuwa wamekutana na Kamati hiyo kuwaeleza majukumu ya tume pamoja na kuwapa mawasilisho yanayuhusu utendaji kazi wa Tume hiyo.

Bw.Erio amesem kuwa  Tume imepewa jukumu la kudhibiti uingizaji wa bidhaa bandia, kuzuia uzalishaji wake, kusambazwa au kupitishwa nchini kwenda nchi jirani.

“Tunashirikiana na Brela zile bidhaa zilizosajiliwa mtu asiende kutengeneza zikaonekana kama bidhaa halisi kumbe sio, tumeanza kutoa elimu watu waelewe madhara ya bidhaa bandia kwa kuwa zinaikosesha serikali kodi, zinafanya wafanyabishara halali kufunga biashara zao kwa kushindwa kushindana na bidhaa bandia,”amesema Bw.Erio

Aidha amesema wameiambia kamati hiyo maeneo yenye mlengo wa kisheria yanayopaswa kuboreshwa ili kuongeza ufanisi kwenye utendaji kazi, tumewasilisha serikalini na mchakato umepita ngazi zote za serikali sasa unakwenda ngazi ya bunge ili kubadilisha sheria ya ushindani ambayo ilitungwa mwaka 2003.

About the author

mzalendo