Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA BRELA KWA UTENDAJI KAZI WAKE

Written by mzalendo

      

MWENYEKITI wa kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi,Mhe.Deo Mwanyika akieleza jambo wakati wa  semina ya kamati hiyo ya kuwajengea uelewa wabunge kuhusu utendaji kazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi,Mhe.Deo Mwanyika,akisisitiza  jambo wakati wa  semina ya kamati hiyo ya kuwajengea uelewa wabunge kuhusu utendaji kazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

NAIBU  Waziri wa Viwanda na Biashara,Mhe Exaudi Kigahe, akichangia jambo wakati wa  semina ya kamati  ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi ya kuwajengea uelewa wabunge kuhusu utendaji kazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Godfrey Nyaisa,akiwasilisha mada mbalimbali kwa kamati  ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi wakati wa Semina ya kuwajengea uelewa wabunge kuhusu utendaji kazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

WAJUMBE wa Kamati  ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi ikifatilia  Semina iliyotolewa kwa kamati hiyo ya kuwajengea uelewa wabunge kuhusu utendaji kazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

MJUMBE  wa Kamati  ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi Prof.Sospeter  Muhongo,akitoa maoni kuhusu utendaji kazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakati wa Semina ya wabunge iliyotolewa kwa Kamati hiyo na Brela iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

MJUMBE  wa Kamati  ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi Dkt.Medard  Kalemani ,akitoa maoni kuhusu utendaji kazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakati wa Semina ya wabunge iliyotolewa kwa Kamati hiyo na Brela iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

MKurugenzi wa Leseni kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA),Andrew Mkapa,akiwasilisha mada  wakati wa   Semina ya kamati  ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi ya kuwajengea uelewa wabunge kuhusu utendaji kazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) iliyofanyika leo Februari 11,2024 bungeni jijini Dodoma.

Na.Bolgas Odilo-DODOMA

KAMATI ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo ,Mifugo na Uvuvi imeridhishwa na utendaji kazi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) ili kufikia azma ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuweka mazingira mazuri ya biashara nchini.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deo Mwanyika ameyasema hayo leo Februari 11,2924  kwenye semina ya kamati hiyo ya kuwajengea uelewa wabunge kuhusu utendaji kazi wa Brela iliyofanyika bungeni jijini Dodoma.

Amesema ni muhimu wabunge kuwa na ufahamu wa taasisi hiyo ili kuisimamia na kufikia azma hiyo kwa kuwa serikali imefanya mageuzi makubwa Brela.

“Mazingira haya mazuri ya biashara ni kwa wawekezaji wa ndani na nje sasa taasisi hii ndio uhai wa mazingira ya biashara, dirisha la kwanza ambalo mwekezaji anakutana nalo ni Brela tunawapongeza sana zile kazia ambazo walikuwa wanapata wawekezaji kwasasa zimepungua sana,”amesema.

Mwanyika amesema hali hiyo itaiweka Tanzania kuwa nchi yenye mazingira mazuri ya uwekezaji na kuwaasa wajipange kuwalea wafanyabiashara kupitia Maofisa biashara ya Halmashauri.

Naye, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaudi Kigahe, amesema serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi ya biashara na uwekezaji nchini.

Awali, Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Godfrey Nyaisa, amesema wamewaeleza wabunge mwelekeo wa wakala huo katika utekelezaji wa majukumu yake na kupokea maoni yao ili kuboresha utendaji kazi wao.

“Tumewaeleza wabunge tunakwenda kupitia sheria ya makampuni ambayo ni ya zamani ili kwenda na wakati katika kuhudumia watanzania na kuhakikisha biashara za watanzania zinakuwa badala ya kuwa na sheria zinazoleta makwazo,”amesema.

Amefafanua kuwa Mwaka 2018 Brela ilianza kutumia mifumo ambayo inawezesha watanzania kusajili kampuni kwa njia ya mtandao.

About the author

mzalendo