Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (wapili kutoka kulia) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah (wapili kutoka kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Stephen Mbundi (wakwanza kutoka kulia) wakiimba wimbo wa Afrika Mashariki wakati wa wakishiriki Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Kisekta wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC na Sudani Kusini kilichofanyika jijini Arusha tarehe 09 Februari 2024.

Previous articleKIGAHE AONGOZA UJUMBE WA TANZANI KATIKA MKUTANO WA  SCTIFI – EAC
Next articlePATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO FEBRUARI 11,2024

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here