Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

WAZIRI BASHUNGWA AIPA MWEZI MMOJA KAMATI YA UWEZESHAJI WA WAZAWA SEKTA YA UJENZI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Kamati inayoandaa Mkakati wa kuongeza ushiriki wa Wazawa katika Miradi ya Ujenzi kukamilisha maboresho ya taarifa hiyo ili iweze kubeba maudhui yote ya Sekta ya Ujenzi na kuweza kuleta tija kwa nchi.

Agizo hilo amelitoa jijini Dodoma katika kikao kazi cha uwasilishaji wa taarifa hiyo na kusisitiza kwa Kamati kuangalia maeneo muhimu ikiwemo uandaaji wa nyaraka za zabuni, vigezo vya upataji wa miradi, mikataba na masuala ya Kisheria.

“Fanyeni tafiti kujua nchi nyingine zimefanikiwa vipi katika suala la kuwajengea uwezo wataalam wao (Local Content), hakikisheni ripoti ya mwisho inafikisha matarajio yote ya wataalam wa Sekta ya Ujenzi”, amesema Bashungwa.

Aidha, Bashungwa amesisitiza umuhimu wa mkakati huo katika kuongeza wigo wa kuwajengea uwezo Wataalam wa Sekta ya Ujenzi nchini ili kuhakikisha utalaam na ujuzi unakuzwa kwa maendeleo ya nchi.

Bashungwa ameelezea umuhimu wa ushirikishwaji wa Wazawa katika nchi ikiwemo fedha nyingi kubaki nchini na kukuza biashara za wazawa, kuongeza ajira na ujuzi kwa wataalam wa ndani, kupunguza matumizi ya fedha za kigeni, kujenga makampuni ya ndani kuwa makubwa na yenye uwezo wa kushindana kimataifa.

Bashungwa amesema taarifa hiyo pia iweke mazingira wezeshi ya kusaidia wakandarasi wazawa kutekeleza miradi kwa kuwa Serikali imeweka kwenye sheria kiwango cha thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na wazawa kutoka Shilingi Bilioni 10 hadi Bilioni 50 ili kuwawezesha wazawa kunufaika na miradi hiyo.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dkt. Matiko Mturi ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), amemhakikishia Waziri huyo kuwa kwa kushirikiana na wadau wote wataendelea kukusanya maoni ili mkakati huo uwe na manufaa kwa pande zote na usaidie katika kukuza uchumi wa nchi.

Ameongeza kuwa miradi ya ujenzi iliyotekelezwa katika kipindi cha miaka 10 kuanzia Januari 2013 hadi Juni 2023 ni 36,839 yenye thamani ya shilingi Trilioni 61.6 ambayo ilisajiliwa.

Kamati ya uaandaji wa Mkakati wa Ushiriki wa Wazawa katika miradi ya ujenzi imehusisha Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB), Bodi ya Usajili ya Wakandarasi (CRB), Bodi ya Usajili ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB) na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).

About the author

Alex Sonna