marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

lordbahis

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

imajbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

pusulabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

jojobet

marsbahis

imajbet giriş

imajbet

ngsbahis

piabellacasino

mislibet

ngsbahis

goldenbahis

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

ligobet

Madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

imajbet

imajbet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

bets10

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

goldenbahis

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

bahsegel

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

romabet

jojobet

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

betoffice

kalitebet

norabahis

Featured Kitaifa

KAMPENI YA KITAIFA YA ULINZI WA MTOTO MTANDAONI YAZINDULIWA JIJINI DODOMA

Written by mzalendo

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt.Dorothy Gwajima,akizindua Kampeni ya Kitaifa ya Ulinzi wa Mtoto Mtandaoni ulienda sambamba na uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri Kuhusu Usalama wa Mtoto Mtandaoni halfa iliyofanyika leo Februari 10,2024 jijini Dodoma.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt.Dorothy Gwajima,akizungumza mara baada ya kuzindua  Kampeni ya Kitaifa ya Ulinzi wa Mtoto Mtandaoni ulienda sambamba na uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri Kuhusu Usalama wa Mtoto Mtandaoni halfa iliyofanyika leo Februari 10,2024 jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew,akizungumza wakati wa uzinduzi wa  Kampeni ya Kitaifa ya Ulinzi wa Mtoto Mtandaoni ulienda sambamba na uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri Kuhusu Usalama wa Mtoto Mtandaoni halfa iliyofanyika leo Februari 10,2024 jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa  Kampeni ya Kitaifa ya Ulinzi wa Mtoto Mtandaoni ulienda sambamba na uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri Kuhusu Usalama wa Mtoto Mtandaoni halfa iliyofanyika leo Februari 10,2024 jijini Dodoma.

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Bi Fatma Tawfiq ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa  Kampeni ya Kitaifa ya Ulinzi wa Mtoto Mtandaoni ulienda sambamba na uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri Kuhusu Usalama wa Mtoto Mtandaoni halfa iliyofanyika leo Februari 10,2024 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Tanzania, Raphael Charles,akisoma risala wakati wa uzinduzi wa  Kampeni ya Kitaifa ya Ulinzi wa Mtoto Mtandaoni ulienda sambamba na uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri Kuhusu Usalama wa Mtoto Mtandaoni halfa iliyofanyika leo Februari 10,2024 jijini Dodoma.

  

Mbunge wa Viti Maalum Kagera – CCM, Mhe.Neema Lugangira,akizungumza wakati wa uzinduzi wa  Kampeni ya Kitaifa ya Ulinzi wa Mtoto Mtandaoni ulienda sambamba na uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri Kuhusu Usalama wa Mtoto Mtandaoni halfa iliyofanyika leo Februari 10,2024 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt.Dorothy Gwajima (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa  Kampeni ya Kitaifa ya Ulinzi wa Mtoto Mtandaoni ulienda sambamba na uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri Kuhusu Usalama wa Mtoto Mtandaoni halfa iliyofanyika leo Februari 10,2024 jijini Dodoma.

 

Wadau mbalimbali wakizungumza wakati wa uzinduzi wa  Kampeni ya Kitaifa ya Ulinzi wa Mtoto Mtandaoni ulienda sambamba na uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri Kuhusu Usalama wa Mtoto Mtandaoni halfa iliyofanyika leo Februari 10,2024 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt.Dorothy Gwajima,amezindua kampeni ya ulimzi na usalama wa Mtoto Mtandaoni huku akitoa maagizo mbalimbali ikiwemo wazazi na walezi kuhakikisha mtoto anatumia vifaa vya kieletroniki chini ya uangalizi wao na kutoruhusiwa kulala na simu.
Waziri Gwajima amezindua kampeni hiyo leo Februari 11,2024 jijini Dodoma iliyoenda  sambamba na uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya ushauri kuhusu ulinzi na usalama wa mtoto mtandaoni .
 Waziri Gwajima amewataka  Wazazi au Walezi kuzingatia hasa kutimiza wajibu wao wa kulea watoto  na kufuatilia kwa usahihi matumizi ya vifaa vya kielektroniki hasa wakati wa likizo ili mtoto kuwa salama mtandaoni. 
“Wazazi au Walezi wekeni kiwango cha muda wa matumizi ya vifaa vya kieletroniki hasa luninga ili kukwepa janga la urahibu na kutoa muda kwa mtoto kufanya kazi za nyumbani na kujisomea. Hakikisha mtoto anatumia vifaa vya kielektroniki chini ya uangalizi wa karibu ili kutojiingiza katika mitandao ambayo ni hatari kwa usalama wa Mtoto. “amesema Dkt.Gwajima
Aidha amewaasa Wazazi au Walezi, kuwaruhusu watoto kushiriki majukwaa yao yaani Mabaraza ya Watoto shuleni na Madawati ya ulinzi wa Watoto ili kujengeana uwezo wa masuala mbalimbali yanayowahusu.
Waziri Dkt. Gwajima amebainisha kuhusu utafiti uliyofanywa na Serikali kwa kushirikiana na Shirika la UNICEF mwaka 2022 kwa watoto wa Tanzania wa umri wa miaka 12 hadi 17 ulioonesha asilimia 67 ya watoto wanatumia mitandao na asilimia 4 ya watoto hao walifanyiwa aina tofauti za ukatili kwenye mitandao ikiwa pamoja na kukutana na   wahalifu waliowasiliana nao kupitia mitandao.  
Aidha, amesema katika kukabiliana na changamoto ya matumizi mabaya ya mtandao kwa watoto, Wizara kwa kushirikiana na Wadau Kamati hiyo ya Taifa ya Ushauri inayojumuisha Wakurugenzi au Wakurugenzi wasaidizi kutoka Serikalini, Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na Sekta Binafsi pamoja na kikundi kazi cha wataalamu wa uratibu wa utekelezaji wa mpango kazi wa kuwalinda watoto dhidi ya ukatili wa mtandaoni.
Ameongeza pia, kampeni hiyo iliyozinduliwa inahusu kuelimisha watoto wenyewe, wazazi, walimu na jamii kwa ujumla kuhusu kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya ukatili ikijumuisha usalama wa mitandaoni ambapo Kaulimbiu itakayoongoza kampeni hii ni Jukumu Letu; Chukua Hatua.
Vilevile Dkt Gwajima amesema ni muhimu wazazi kuwalea watoto  kwa kuwaandaa  kukabiliana na mazingira ya kidigitali kwani bila kufanya hivyo inakua rahisi kwa watoto kufanyiwa vitendo vya ukatili kupitia vifaa hivyo.
“Kazi ya Serikali ni kujenga  ufahamu kwa wazazi ili  waweze kuelewa kuwa katika  ulimwengu wakidigitali inabidi tuingie kwa lengo la maendeleo na si kwa ajili ya kukatiliwa
Kwa upande wake  Naibu Waziri Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandasi Kundo Mathew amesema uwepo wa teknolojia ya akili bandia ni muhimu kwa maendeleo ya mawasiliano katika Taifa lakini unakuja na changamoto zake ambazo zinahitaji umakini wa hali ya juu katika kuzitatua.
“Wizara ya habari na Mawasiliano itaipa kampeni hiii  uzito unaostahili  ili kutoa matunda sahihi ikiwemo   utungaji wa sera kwa kuwashirikisha wadau wote sambamba na kukidhi mahitaji ya  kidigitali kwa wakati  tulionao “Amesema Mhandis Kundo .
Awali  Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Tanzania, Raphael Charles amewaasa watoto kuhakikisha wanatumia mitandao ya kijamii kwa kufuata miongozo ya wazazi na walezi ili kuepukana na ukatili unaoendelea katika mitandao ya Jamii.
Hata hivyo amewataka  watoto kuhakikisha hawapigi wala kuweka picha za faragha mitandaoni, kutotoa taarifa zao binafsi na familia kwa watu wasiowajua na kutoweka picha za utupu kwakuwa madhara yake ni makubwa.
Naye Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Bi. Rosemary Senyamule amesema kuwa   mkoa wake ni wahanga wa ukatili kwa watoto ingawa matukio yameonekana kupungua kutoka matukio 4,680 mwaka 2022 hadi matukio 3,676 kwa mwaka 2023.

About the author

mzalendo