Featured Kitaifa

DKT.TULIA AKIFUNGUA MKUTANO WA KIBUNGE MAREKANI

Written by mzalendo

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akifungua Mkutano wa Kibunge wa Umoja wa Mabunge Duniani katika Umoja wa Mataifa (2024 Parliamentary Hearing at the United Nations) leo tarehe 8 Februari, 2024. Mkutano huu unaofanyika katika Ukumbi wa Kamisheni ya Uchumi na Maendeleo ya Jamii, Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani, unaohudhuriwa na Mabunge ya nchi 180 Duniani na mwaka huu unaangazia mada kuu ya “Amani na Usalama wa Kesho: Nia nzuri ya kuleta matokeo ya pamoja.”

PICHA NA OFISI YA BUNGE

About the author

mzalendo