Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI KUTOKA DAVOS

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea Davos nchini Uswisi ambapo alimwakilisha Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF). Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo. Tarehe 20
Januari 2024.

About the author

mzalendo