Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

casibom giriş

pokerklas

royalbet

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

casibom giriş

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

türk ifşa

pokerklas

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

mobilbahis

casibom

perabet giriş

restbet giriş

imajbet

imajbet giriş

kavbet

perabet

artemisbet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino giriş

zirvebet

jojobet güncel giriş

nerobet

jojobet

nerobet

jojobet giriş

kavbet giriş

Meritking

jojobet

สล็อตเว็บตรง

bets10

pusulabet

jojobet

marsbahis

holiganbet

trust score weak 3

marsbahis giriş

ikimisli

tipobet

mislibet

restbet

casibom

realbahis

ikimisli

queenbet

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

interbahis, interbahis giriş

betgar, betgar giriş

monobahis, monobahis giriş

superbetin

meritking

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

roketbet

casibom

ligobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

sahabet

jojobet

perabet

ilbet

deneme bonusu

casibom güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

kulisbet, kulisbet giriş

google

ganobet

tophillbet

marsbahis

atlasbet

Doctors | Akdeniz University Hospital

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

betflix giriş

betflix

betturkey

grandpashabet

gameofbet

betgit

1win

radissonbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

ikimisli

queenbet

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom giriş

casibom

meritking giriş

meritking giriş

meritking

marsbahis

meritking

marsbahis giriş

marsbahis giriş

meritking

jojobet

goldenbahis

holiganbet

galabet

holiganbet

mislibet

casibom

romabet

Hacklink panel

betturkey

jojobet

google giir

jojobet

jojobet

realbahis

casibom giriş

royalbet

jojobet giriş

royalbet

casibom giriş

casibom giriş

casibom

primebahis

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

meritking giriş

marsbahis

betpas

betgaranti

betoffice

timebet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

atlasbet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

casibom

vdcasino

mislibet giriş

tarafbet

tarafbet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

betine

jojobet

betvole

betvole

betkolik

betkolik

betplay

betplay

aresbet

aresbet

jojobet giriş

alfabahis

gobahis

gobahis

livebahis

livebahis

atlasbet

atlasbet

ultrabet

ultrabet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

coinbar

coinbar

elitcasino

elitcasino

bahisfair

bahisfair

gonebet

gonebet

betovis

betovis

goldenbahis

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

casibom

jojobet

https://sjconsultors.com/

kavbet

Featured Michezo

RAIS SAMIA AZICHANGIA MILIONI 500 TIMU ZA TAIFA

Written by mzalendo

 

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wadau wa michezo nchini kupitia simu ya mkononi, kwenye Harambee ya kuchangia timu za taifa zinazoshiriki michuano ya kimataifa, iliyofanyika katika ukumbi wa Johari Rotana, jijini Dar es Salaam, Januari 10.2024, ambapo kiasi cha shikingi bilioni 3.7 zilipatikana.

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wadau wa michezo nchini, wakati alipo mwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Harambee ya kuchangia timu za taifa zinazoshiriki michuano ya kimataifa, kwenye ukumbi wa Johari Rotana, jijini Dar es Salaam, Januari 10.2024, ambapo kiasi cha shikingi bilioni 3.7 zilipatikana. Kutoka kulia ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Damas Ndumbaro na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Gerson Msigwa.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikabidhi jezi iliyonadiwa kwa wadau wa michezo nchini, wakati alipo mwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Harambee ya kuchangia timu za taifa zinazoshiriki michuano ya kimataifa, kwenye ukumbi wa Johari Rotana, jijini Dar es Salaam, Januari 10.2024, ambapo kiasi cha shikingi bilioni 3.7 zilipatikana.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa katika picha ya Pamoja na wachezaji wa mpira wa miguu wa zamani, wakati alipo mwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Harambee ya kuchangia timu za taifa zinazoshiriki michuano ya kimataifa, kwenye ukumbi wa Johari Rotana, jijini Dar es Salaam, Januari 10.2024, ambapo kiasi cha shikingi bilioni 3.7 zilipatikana(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

…………..

ZAIDI ya shilingi bilioni 3.7 zimechangwa ikiwa ni fedha taslimu na ahadi katika hafla ya kuzichangia timu za Taifa za Tanzania ambapo kati ya hizo Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amechangia shilingi milioni 500.

Fedha hizo zilipatikana zilipatikana kutokana na wadau kutoka sekta mbalimbali ikiwa ni ppamoja na wizara na taasisi za Serikali, taasisi za kifedha, mashirika ya hifadhi za jamii, wafanyabiashara na wasanii pamoja na njia ya mnada ambapo jezi zenye majina ya wachezaji wa timu ya Taifa iliyoshiriki AFCON miaka ya 1980 ziliuzwa na jezi iliyouzwa na gharama kuwa ilikuwa ya golikipa Juma Pondamali iliyonunuliwa kwa shilingi milioni 25.

Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ametoa mchango huo jana usiku Jumatano, Januari 10, 2024 wakati alipompigia simu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa ajili ya kuzungumza na wadau mbalimbali wa michezo walijitokeza katika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzichangia timu za Taifa.

“Wito wangu na ombi langu kwenu Watanzania wenzangu tuchangie timu zetu ili ziende kuwakilisha vizuri jina la Tanzania. Serikali imejitahidi na imehamasisha na timu zetu zinasonga mbele, michezo ni gharama ndugu zangu. Mimi na marafiki zangu kwa kuanzia tutachangia shilingi milioni 500.”

Waziri Mkuu ambaye aliongoza harambee hiyo kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia alisema lengo la kukusanya fedha hizo ni kuziwezesha timu za Taifa zinazoshiriki katika michuano mbalimbali ya kimataifa kusonga mbele. “Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi thabiti wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeshuhudia mageuzi makubwa sana katika sekta ya michezo.”

Waziri Mkuu alisema mageuzi hayo yametokana na jitihada na uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali pamoja na wadau mbalimbali yakiwemo makampuni pamoja na watu binafsi, ambapo utashi mkubwa wa kisiasa katika sekta ya michezo umeleta msukumo chanya unaoongeza ari na morali kwa wadau wa sekta ya kuunga mkono na kuzienzi jitihada za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwekezaji na mabadiliko makubwa katika sekta ya michezo.

Alisema kwa upande wa mpira wa miguu, Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanaume “Taifa Stars” imefuzu kucheza mashindano ya AFCON yanayofanyika nchini Ivory Coast mwezi huu Januari 2024. “Ninayo furaha kuwataarifu kuwa hivi sasa timu yetu ipo kambini nchini Misri na tayari Mheshimiwa Rais amekwisha kutoa fedha za kusaidia Timu ya Taifa kushiriki mashindano haya.”

Vilevile, Waziri Mkuu alisema timu ya Taifa ya wanawake ya Mpira wa miguu “Twiga Stars” imefuzu kucheza mashindano ya WAFCON ambayo yatafanyika mwaka huu nchini Morocco, timu hiyo nayo imepewa bonasi ya Mheshimiwa Rais ya shilingi milioni 200 ilipofuzu mashindano hayo.

Awali, Mwenyekiti wa kamati ya hamasa ya kuchangia timu za Taifa, Bw. Theobaid Sabi alisema kamati yao ina majukumu makuu matatu ambapo la kwanza ni kutafuta fedha kwa ajili ya kugharamia timu za Taifa zinazotarajia kushiriki mashindano ya kimataifa, kuuelimisha umma kuhusu uwepo na umuhimu wa timu za Taifa na kuuhamasisha kuziunga mkono na kuzichangia timu hizo.

Bw. Sabi ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NBC alisema lengo ni kukusanya shilingi bilioni 10, hivyo amewaomba wadau wajitokeze kwa hali na mali kuchangia timu hizo. Alisema Benki ya NBC itaanza kuchangia shilingi milioni 100.

 

About the author

mzalendo