Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AFUNGUA HOSPITALI YA RUFAA LUMUMBA YA MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZANZIBAR

Written by mzalendo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

 Mandhari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar kama linavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 10 Januari, 2024.
     Mandhari ya ndani ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar kama linavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 10 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkunga mbobezi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar Bi. Khadija Salum Said kuhusu huduma za Wanawake Wajawazito zinazotolewa kwenye Hospitali hiyo mara baada ya uzinduzi tarehe 10 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimwagilia mti maji mara baada ya ufunguzi wa Hospitali ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifanya ukaguzi katika moja ya sehemu zitolewazo huduma mbalimbali za matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Afya wa Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui wakati akitoka kukagua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi iliyopo Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
  Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024. 
 Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.
 Wananchi mbalimbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024.

About the author

mzalendo