Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MAZISHI YA ARCHITECT BHALALUSESA

Written by mzalendo

  

  

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameshiriki Mazishi ya Architect. Phillip Bhalalusesa ambaye ni Kaka wa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Katoliki Tabora Askofu Paul Ruzoka. Ibada ya Mazishi imefanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Utatu Mtakatifu Changanyikeni na Mazishi yamefanyika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam. Tarehe 09 Januari 2024.

About the author

mzalendo