Featured • Kitaifa SPIKA DKT.TULIA ATETA NA BISHOP MUYOMBA 4 months agoby mzalendo20 Views Written by mzalendo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa United Methodist Church Bishop Dkt. Mande Muyomba katika ofisi ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn