Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili mkoani Shinyanga akitokea jijini Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi leo Disemba 29, 2023.

Alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kahama, Dkt. Biteko alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi mkoani Shinyanga akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Johari Samizi, Mbunge wa Ushetu, Mhe. Emanuel Cherehani na Mbunge wa Kahama Mjini, Mhe.Jumanne Kishimba.

Previous articleWANACHI WATAKIWA KUTUMIA FURSA ZA UWEPO WA ZAHANATI KUPATA HUDUMA
Next articleMKURUGENZI CMA AWATAKA WATUMISHI KUFANYA KAZI KWA UZALENDO NA HAKI KULETA MAENDELEO MWAKA 2024

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here