Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

betyap

padişahbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

betpark

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

SERIKALI YAWAKARIBISHA WANANCHI KUWASILISHA CHANGAMOTO ZINAZOHUSIANA NA KODI

Written by mzalendo

Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi Tanzania, Bw. Robert Manyama, akitoa hotuba wakati wa Kikao Kazi cha Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi ((Tax Ombudsman Service of Tanzania – TOST) iliyopo chini ya Wizara ya Fedha na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini, kilichofanyika katika Ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Dare es Salaam. Kikao hicho kimelenga kuwajengea uelewewa Wahariri hao kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Taasisi hiyo ili wawe na uwezo wa kuwahabarisha wananchi kwa ufasaha kuhusu majukumu ya Taasisi hiyo inayolenda kusuluhisha malalamiko ya kikodi baina ya wadau na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Meneja wa Malalamiko na Usajili kutoka Taasisi ya Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi Tanzania, Bi. Naomi Mwaipola, akizungumza jambo wakati wa Kikao Kazi cha Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi ((Tax Ombudsman Service of Tanzania -TOST) iliyopo chini ya Wizara ya Fedha na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini, kilichofanyika katika Ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimelenga kuwajengea uwezo wahariri hao kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Taasisi hiyo ili wawe na uwezo wa kuwahabarisha wananchi kwa ufasaha.

Baadhi ya Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari wakifuatilia hotuba iliyokua inatolewa na Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi Tanzania, Bw. Robert Manyama (hayupo pichani), wakati wa Kikao Kazi cha Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi ((Tax Ombudsman Service of Tanzania – TOST) iliyopo chini ya Wizara ya Fedha na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini, kilichofanyika katika Ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimelenga kuwajengea uwezo kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Taasisi hiyo ili wawe na uwezo wa kuwahabarisha wananchi kwa ufasaha.

Mkuu wa Kitengo cha Elimu na Mawasiliano kwa Umma kutoka Taasisi ya Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi Tanzania, Bw. Edwin Iwato, akizungumza wakati Kikao Kazi cha Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi ((Tax Ombudsman Service of Tanzania – TOST) iliyopo chini ya Wizara ya Fedha na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini, kilichofanyika katika Ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Dare es Salaam. Kikao hicho kimelenga kuwajengea uwezo kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo ili wawe na uwezo wa kuwahabarisha wananchi kwa ufasaha.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja, akielezea Mkakati wa Mawasiliano wa Wizara kuhusu namna ilivyojipanga na kuendelea kuwashirikisha Wahariri na Vyombo vya Habari kwa ujumla ili kuwajengea uelewa wadau wa ndani na nje ya nchi wa Wizara ya Fedha wakati wa Kikao Kazi cha Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi ((Tax Ombudsman Service of Tanzania; TOST) iliyopo chini ya Wizara ya Fedha na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini, kilichofanyika katika Ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimelenga kuwajengea uwezo kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Taasisi hiyo ili wawe na uwezo wa kuwahabarisha wananchi kwa ufasaha.

Baadhi ya Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari wakifuatilia hotuba iliyokua inatolewa na Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi Tanzania, Bw. Robert Manyama (hayupo pichani), wakati wa Kikao Kazi cha Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi ((Tax Ombudsman Service of Tanzania – TOST) iliyopo chini ya Wizara ya Fedha na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini, kilichofanyika katika Ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Dare es Salaam. Kikao hicho kimelenga kuwajengea uwezo kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo ili wawe na uwezo wa kuwahabarisha wananchi kwa ufasaha.

Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi Tanzania kutoka Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi ((Tax Ombudsman Service of Tanzania; TOST), Bw. Robert Manyama (wapili kulia walioketi), Meneja wa Malalamiko na Usajili kutoka Taasisi hiyo, Bi. Naomi Mwaipola (wa pili kushoto walioketi), Mkuu wa Kitengo cha Elimu na Mawasiliano kwa Umma kutoka Taasisi hiyo, Bw. Edwin Iwato (wa kwanza kulia walioketi) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja (wa kwanza kushoto walioketi), wakiwa katika picha ya pamoja na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini, baada ya kumalizika kwa kikao kazi cha Taasisi hiyo na Wahariri hao, kilichofanyika katika Ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Dar es Salaam, ambapo Kikao hicho kililenga kuwajengea uwezo Wahariri hao kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Taasisi hiyo ili wawe na uwezo wa kuwahabarisha wananchi kwa ufasaha.

Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi Tanzania kutoka Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi ((Tax Ombudsman Service of Tanzania – TOST), Bw. Robert Manyama (Katikati), Meneja wa Malalamiko na Usajili kutoka Taasisi hiyo, Bi. Naomi Mwaipola (wa pili kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Elimu na Mawasiliano kwa Umma kutoka Taasisi hiyo, Bw. Edwin Iwato (wa kwanza kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja (wa kwanza kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini, baada ya kumalizika kwa kikao kazi cha Taasisi hiyo na Wahariri hao, kilichofanyika katika Ukumbi wa Hazina Ndogo, jijini Dare es Salaam, ambapo Kikao hicho kililenga kuwajengea uwezo Wahariri hao kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Taasisi hiyo ili wawe na uwezo wa kuwahabarisha wananchi kwa ufasaha.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam)

……

Na. Scola Malinga na Saidina Msangi, WF, Dar Es Salaam.

Ofisi ya Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi (TOST), imekaribisha wananchi wenye changamoto zinazohusiana na kodi kuwasilisha malalamiko katika Taasisi hiyo ili ziweze kushughulikiwa ndani ya siku 30.

Wito huo imetolewa na Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi Bw. Robert Manyama, alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Hazina Ndogo, alipokuwa akiitambulisha Ofisi hiyo pamoja na malengo na wajukumu ya kuundwa kwa Taasisi hiyo huru ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi (Tax Ombudsman Service of Tanzania TOST).

Bw. Robert Manyama alisema kuwa Taasisi hiyo imeanzishwa kama jukwaa huru la kutoa usuluhishi wa malalamiko na taarifa za kodi kwa kuzingatia haki na usawa kwa mlalamikaji na mlalamikiwa.

Alisema kuwa Taasisi hiyo imeundwa na Serikali ikiwa na lengo la kushughulikia malalamiko ya walipa kodi yanayotokana na taratibu huduma na maamuzi ya kiutawala, yanayotokea wakati wa usimamizi wa sheria za kodi unaofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

‘‘Taasisi ya TOST jukumu la kuainisha maeneo yenye matatizo katika usimamizi wa sheria za kodi na ambayo ni vyanzo vya malalamiko ya walipa kodi nchini na kutoa mapendekezo ya marekebisho kwa Waziri wa Fedha, alifafanua Bw. Manyama.

Alieleza kuwa TOST inalenga kupunguza mlundikano wa kesi mahakamani na kuwezesha upatikanaji wa suluhu kwa haraka na kwa usawa dhidi ya malalamiko yatokanayo na usimamizi wa sheria za kodi.

Bw. Manyama alisema TOST pia ina lengo la kuongeza imani ya wananchi dhidi ya mfumo wa usimamizi na ukusanyaji kodi nchini na ulipaji wa kodi kwa hiari kwa kuhakikisha kwamba taratibu na huduma sitahiki za usimamizi wa kodi zinafuatwa bila unyanyasaji.

‘‘Mtu yeyote ambaye haridhishwi na utendaji katika maeneo hayo niliyotaja ya utoaji wa huduma, taratibu na maamuzi za Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), anaweza kuwasilisha lalamiko kwa Msuluhishi ndani ya siku 90 tangu kutokea ili liweze kufanyiwa kazi, usuluhishi wa malalamiko ya kodi kwa wakati utapunguza kwa kiasi kikubwa pingamizi za kodi na migogoro ambayo isiyo na ulazima wa kupelekwa mahakamani’’, alifafanua Bw. Manyama.

Alisema kwa mujibu wa sheria malalamiko ya mlipakodi yanayakiwa kushughulikiwa ndani ya siku 30 na kuwasilisha taarifa kwa Waziri wa Fedha ndani ya siku 14, hivyo amehimiza walipakodi kutoa taarifa zinazohitajika kwa haraka zinapohitajika ili kuepuka kuchelewesha mchakato wa kushughulikia malalamiko yao.

Aliongeza kuwa dhamira ya Taasisi hiyo ni kushughulikia malalamiko ya kodi kwa usawa na kwa ufanisi, kutatua malalamiko dhidi ya usimamizi wa sheria za kodi kwa njia ya majadiliano na upatanishi huku ikiharakisha utatuzi wa malalamiko kwa kutumia taratibu zisizo na gharama kubwa au kuhitaji mwanasheria jambo litakalojenga imani ya walipa kodi kwa mfumo wa usimamizi na ukusanyaji wa kodi nchini.

Naye Meneja wa Malalamiko na Usajili Bi. Naomi Mwaipola, alisema kuwa Taasisi hiyo inatoa huduma bure kwa wananchi na imejipanga kuwahudumia wananchi katika mikoa yote nchini na kutoa rai kwa wahariri hao kufikisha taarifa kwa umma.

‘‘Ninatazamia na ninawaamini kuwa ninyi ni wajumbe wazuri kwa haya mliyosikia na mtapeleka ujumbe kwa Watanzania watakaokuwa wanahitaji huduma yetu na tunafika popote licha ya kuwa Makao Makuu yetu yapo Dodoma, ukiwa mkoa wowote unaruhusiwa kuleta changamoto yako na sisi tutakufikia,’’akisema Bi. Mwaipola.

Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi (TOST) ilianzishwa mwaka 2019 kwa marekebisho yaliyofanywa katika sheria ya usimamizi wa kodi ya mwaka 2015 na inafanya kazi nchi nzima, na mifumo yake imeanza kujengwa mwaka 2023 ambapo imeanza rasmi kutoa huduma kwa wananchi.

About the author

mzalendo