Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

betyap

padişahbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

betpark

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

BARRICK NORTH MARA YAPONGEZWA KUUNGANA NA WADAU MBALIMBALI KUFANIKISHA MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA 2023

Written by mzalendo
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt .Yahaya Nawanda, akihutubia wakati wa maadhimisho ya kilele cha Kampeni ya Kitaifa ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia yaliyofanyika Nyamongo wilayani Tarime, Desemba 10, 2023.

Wanachama wa WiLDAF Tanzania wakifurahia picha ya pamoja wakati wa maadhimisho ya kilele cha Kampeni ya Kitaifa ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia.
Mkurugenzi wa Jinsia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Badru Abdunuru, akizungumza wakati wa maadhimisho hayo
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick North Mara, Apolinary Lyambiko, akizungumza wakati wa maadhimisho ya kilele cha Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia.
Msafara wa Kampeni ya Kitaifa ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia wakifuatilia jambo wakati wa maadhimisho ya kilele cha kampeni hiyo.
Viongozi wa Serikali, Kampuni ya Barrick na Shirika la WiLDAF Tanzania katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi kitabu cha mwongozo wa kupinga na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia, wakati wa maadhimisho ya kilele cha Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia.
****
 
Maadhimisho ya kilele cha Kampeni ya Kitaifa ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia kwa Mwaka 2023, yamefanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Nyamongo wilayani Tarime, chini ya udhamini wa Mgodi wa Dhahabu wa Barrick North Mara.
 
Kupitia maadhimisho hayo, Serikali imelikabidhi Shirika la WiLDAF Tanzania kitabu cha mwongozo wa kupinga na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini.
 
 
Aidha, Kampuni ya Barrick imetumia fursa hiyo kuzindua vilabu vya Marafiki wa North Mara, katika shule 10 za sekondari zilizopo maeneo yanayozunguka mgodi huo.
 
Mgeni rasmi katika maadhimisho alikuwa ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Yahaya Nawanda, ambaye katika hotuba yake alipongeza mgodi wa Barrick North Mara na wadau wengine waliofanikisha kampeni hiyo.
 
Dkt. Nawanda ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, alisema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wote wanaopambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia, kwa ustawi wa maendeleo ya jamii nzima.
 
Amelihimiza Jeshi la Polisi kuhakikisha watu wote wanaojihusisha na vitendo vya ukatili wa kijinsia, ukiwemo ukeketaji wanakamatwa na kuchukulia hatua kali za kisheria. “Ukeketaji hauna nafasi katika karne hii,” amesisitiza.
 
Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Jinsia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Badru Abdunuru, amesema Serikali inaendelea kuongeza uwekezaji kwenye mipango ya kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia, miongoni mwa changamoto nyingine.
 
Abdunuru, ambaye alimwakilisha, Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Dorothy Gwajima, naye ameipongeza Barrick na mashirika mengine yaliyosaidia kufanikisha kampeni hiyo ya siku 16 za za kupinga ukatili wa kijinsia, akisema itasaidia kuongeza msukumo wa kuchukua hatua za kutokomeza vitendo hivyo katika jamii.
 
Alisema Serikali inaendelea kuongeza uwekezaji kwenye mipango ya kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia, miongoni na changamoto nyingine.
 
Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, Jean Clark, amesema maadhimisho ya kilele cha kampeni hiyo yana umuhimu mkubwa kwani yamefanyika siku ambayo pia ni ya Maadhimisho ya Miaka 75 ya Tamko la Kimataifa la Haki za Binadamu.
 
Kwa ipande wake, Meneja Mkuu (GM) wa Barrick North Mara, Apolinary Lyambiko, amesema Mgodi huo unatambua juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kupinga ukatili wa kijinsia, ndio maana haukurudi nyuma kusaidia kufanikisha maadhimisho hayo.
 
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Kanali Michael Mntenjele, yeye ameomba waratibu wa kampeni ya kitaifa ya kupiga vita ukatili wa kijinsia kuangalia uwezekano wa kupiga kambi wilayani humo mwakani kwa ajili ya kukemea vitendo vya ukeketaji vinavyotarajiwa kufanyika miongoni mwa jamii ya kabla la Wakurya.
 
Awali, Anna Kulaya, ambaye ni Mkurugenzi wa Shirika la WiLDAF Tanzania, lililoratibu Kampeni ya Kitaifa Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia, amesema kampeni hiyo ilizinduliwa na Waziri Gwajima, Novemba 25, mwaka huu jijini Dar es Salaam.
 
Kulaya ametumia nafasi hiyo kuishukuru Serikali na mashirika yote yaliyojitokeza kuliunga mkono shirika lake kwa hali na mali katika kufanikisha kampeni hiyo.
 
 
“Tunatoa shukrani za dhati kwa Barrick – wametushika mkono sana katika kampeni hii, wamekuwa wadau wakubwa, na mgodi wao wa North Mara umewekeza sana katika kuzuia ukatili wa kijinsia. Vilabu vya Marafiki wa North Mara vilivyoanzishwa vitachochea kampeni ya kupinga ukatili wa kijinsia katika jamii inayouzunguka,” amesema.
 
Mkurugenzi huyo wa WiLDAF Tanzania ameweka wazi kuwa waliamua maadhimisho ya kilele cha kampeni hiyo yafanyike mkoani Mara kutokana na mkoa huo kuongoza kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia.
 
Kiongozi wa msafara wa watu 18 wa kampeni hiyo, Idd Mziray, amesema wamefanikiwa kupita katika mikoa mbalimbali ikiwemo Morogoro, Dodoma, Kigoma, Kagera, Geita na hatimaye Mara.
 
Mziray ametaja taasisi walizopita kwa ajili ya kutoa elimu ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kuwa ni pamoja na shule za msingi na sekondari, misikiti na makanisa.
 
 
Maadhimisho hayo ya Kilele cha Kampeni ya Kitaifa ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia kwa Mwaka 2023, yenye kaulimbiu inayosema: “Wekeza Kuzuia Ukatili wa Kijinsia”, yamehudhuriwa pia na askari polisi, viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, makundi tofauti ya wananchi, wakiwemo wanafunzi na wazee wa mila.

About the author

mzalendo