Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA KILIMO PEMBEZONI MWA MKUTANO WA COP28 JIJINI DUBAI

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Mkutano huo umeandaliwa na Wizara ya Kilimo tarehe 03 Desemba, 2023.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023. Mkutano huo umeandaliwa na Wizara ya Kilimo tarehe 03 Desemba, 2023
 Mawaziri na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023. 

Mawaziri na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Afya unaohusu magonjwa yasiopewa kipaumbele, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na baadhi ya viongozi pamoja na Wafanyabiashara wakati wa Mkutano wa Afya unaohusu magonjwa yasiopewa kipaumbele, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye Mkutano wa Afya unaohusu magonjwa yasiopewa kipaumbele, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ameshikana mikono na baadhi ya viongozi pamoja na wafanyabiashara kuonesha ushirikiano na Mshikamano wa Kupambana na magonjwa yasiopewa kipaumbele wakati wa Mkutano wa Afya, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.
Baadhi ya Viongozi na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.

About the author

mzalendo