Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

grandpashabet

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

Gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

meritking giriş

meritking

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

türk porno

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel

jojobet

matbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

bets10

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

SERIKALI YA DKT. SAMIA IMEKUZA USAWA WA KIJINSIA – MAJALIWA

Written by mzalendo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Elice Paulo  wakati alipotembelea banda la maonesho la Kikundi cha Maendeleo Yetu katika Tamasha la Bibi Titi Mohammed , 2023 lililofanyika kwenye Uwanja wa Ujamaa , Ikwiriri Rufij mkoani Pwani, Disemba 3, 2023. Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, na Mbunge wa Rufiji, Mohammed Mchengerwa  na wa tatu kulia ni Naibu Katibu Mkuu OR – TAMISEMI (Elimu), Dkt. Charles Msonde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Ramadhani Waziri, wakati alipotembelea banda la maonesho la umoja wa watengeneza samani  katika Tamasha la Bibi Titi Mohammed , 2023 lililofanyika kwenye Uwanja wa Ujamaa , Ikwiriri Rufiji Mkoa wa Pwani, Disemba 3, 2023. Wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI na Mbunge wa Rufiji, Mohammed Mchengerwa  na wa tatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu OR – TAMISEMI (Elimu), Dkt. Charles Msonde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkuu wa Mkoa wa Pwani , Abubakar Kunenge akionesha ufunguo wa gari baada ya kukabidhiwa gari na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli za Afya kwenye Secretarieti ya Mkoa huo  katika Tamasha la Bibi Titi Mohammed , 2023 lililofanyika kwenye Uwanja wa Ujamaa , Ikwiriri Rufiji mkoa wa Pwani, Disemba 3, 2023. Wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Nchengerwa . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa gari Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge wakati alipokabidhi magari  22 kwa ajili ya  ufuatiliaji wa shughuli za Afya kwenye Secretarieti za Mikoa na Halmashauuri za Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Tamasha la Bibi Titi Mohammed , 2023 lililofanyika kwenye Uwanja wa Ujamaa , Ikwiriri Rufiji mkoa wa Lindi , Disemba 3, 2023. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI na Mbunge wa Rufiji, Mohammed Nchengerwa . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
DSC 1804 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa gari Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack wakati alipokabidhi magari  22 kwa ajili ya  ufuatiliaji wa shughuli za Afya kwenye Secretarieti za Mikoa na Halmashauuriza Mikoa ya Pwani, Lindi na  Mtwara. Makabidhiano hayo yalifanyika katika Tamasha la Bibi Titi Mohammed , 2023 lililofanyika kwenye Uwanja wa Ujamaa , Ikwiriri Rufiji, Disemba 3, 2023.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kazi kubwa imefanyika katika kipindi cha awamu hii ya uongozi kwa kutekeleza mikakati na sera zinazolenga kuondoa ubaguzi na kukuza usawa wa kijinsia. 

Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Desemba 3, 2023) wakati akizungumza na maelfu ya wananchi waliohudhuria kilele cha maadhimisho ya tatu ya kumbukumbu ya kumuenzi mwanasiasa mkongwe, Bibi Titi Mohammed yaliyofanyika kwenye viwanja vya Ujamaa, Ikwiriri, wilayani Rufiji, mkoani Pwani. 

Waziri Mkuu ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alisema: “Pamoja na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, asasi za kiraia na jumuiya ya kimataifa, bado kuna changamoto nyingi katika kufikia usawa wa kijinsia. Ukweli huo unatoa msukumo muhimu wa kuendeleza na kuimarisha juhudi zetu katika kushughulikia masuala ya usawa wa kijinsia,” amesema. 

Akitaja baadhi ya hatua zilizochukuliwa na Serikali ya awamu ya sita, Waziri Mkuu amesema ya kwanza ni kuongeza idadi ya wanawake katika nafasi za maamuzi ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa akitoa fursa mbalimbali za uongozi kwa wanawake na kuimarisha uwiano katika teuzi anazozifanya kitendo ambacho kimeongeza idadi ya wanawake katika uongozi.

“Maamuzi haya ya Mheshimiwa Rais ni mfano wa utambuzi wa nafasi ya mwanamke na fursa kwa wanawake na kuthamini umuhimu wa kuwa na uwakilishi wa kutosha wa wanawake katika ngazi mbalimbali za uongozi.” 

Amezitaja hatua nyingine kuwa ni kufanya maboresho kwenye mfumo wa elimu ili kuongeza fursa zaidi, kutekeleza mipango  mahsusi ya kuhakikisha jamii ya Tanzaia inakuwa na afya bora na inashiriki kikamilifu shughuli za ujenzi wa Taifa na pia kuwawezesha wanawake kiuchumi kupitia mikopo na mafunzo kwa wajasiriamali wa kike ili waweze kujikwamua kiuchumi. 

“Serikali pia inatekeleza afua na mikakati mbalimbali ya kuondoa mila na desturi potofu ambazo zimekuwa zikizuia maendeleo ya wanawake. Naamini kuwa tamasha hili litazidi kuwa chachu ya mabadiliko chanya katika jamii yetu. Tushikamane sote na tuendelee kujenga Tanzania yenye usawa na haki kwa wote,” amesisitiza. 

Akiweka msingi wa kuendelea kumuenzi mkongwe huyo, Waziri Mkuu amesema: “Namna bora ya kuenzi mchango mkubwa wa Bibi Titi ni kwa kuiga uchapakazi wake. Hivyo basi kila mmoja katika nafasi yake afanye kazi kwa bidii, uzalendo na ujasiri.” 

“Maadhimisho haya ni ya kihistoria na yanatukumbusha kuwa uhuru tulionao ni kazi iliyofanywa na wazalendo, mashujaa wa nchi waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya nchi yao. Aidha, yanaikumbusha jamii ya Watanzania kuwa mwanamke ana nafasi kubwa katika harakati mbalimbali za kitaifa,”amesema.

Amewataka wananchi wote washirikiane na Serikali kupinga kwa nguvu zote ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto. “Kila mmoja wetu aone kuwa ni wajibu wake kuwalinda watoto wa kike na wa kiume. Dunia ya sasa imeharibika kutokana na mmomonyoko wa maadili, hivyo basi sote tupaze sauti kukemea matendo yote maovu. Tumieni madawati ya jinsia pamoja na vyombo vyote vilivyopo katika mifumo ya jamii zetu kuwaripoti wahusika wa vitendo vya ukatili.”

Mapema, Waziri wa Nchi (OR – TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa alisema maadhimisho hayo yalihusisha shughuli mbalimbali ikiwemo upandaji miti, kugawa vitanda kwenye shule ya sekondari ya Bibi Titi na kuweka jiwe la msingi kwenye daraja la Bibi Titi lililopo kwenye barabara ya kwenda Mohoro. 

Akiwa kwenye mabanda ya maonesho kwenye maadhimisho hayo, Waziri Mkuu alielezwa kwamba shule mpya za msingi 302 zimeshajengwa na ziko tayari kupokea wanafunzi 1,093,000 wanaotarajiwa kuanza kidato cha kwanza mwakani na kwamba wote wataanza kwa awamu moja.

Akitoa taarifa hiyo, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano (OR-TAMISEMI), Bi. Ntee Hosea alisema: “Katika kutekeleza mikakati ya kuboresha ufundishaji na ujifunzaji shuleni, ulioanza kutekelezwa Januari 2023 hadi sasa, idadi ya wanafunzi wanaomudu stadi za KKK darasa la kwanza na la pili imeongezeka kutoka asilimia 35 hadi asilimia  94.”

Alisema wanafunzi wenye kumudu lugha ya Kiingereza kwa kiwango cha kujitambulisha darasa la tatu kwa shule za Serikali imeongeza kutoka asilimia 45 hadi asilimia 80 na wanafunzi wanaomudu stadi nne za kutumia lugha ya Kiingereza kidato cha kwanza imeongezeka kutoka asilimia 38 hadi asilimia 87.

 

About the author

mzalendo