Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Uncategorized

TRA SHINYANGA YATOA MSAADA WA TANKI LA MAJI HOSPITALI YA DKT. JAKAYA KIKWETE KISHAPU, CHAKULA MAKAZI YA WAZEE NA WASIOJIWEZA KOLANDOTO

Written by Alex Sonna
Meneja Msaidizi Huduma kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga Estomih Mossi (aliyevaa koti jeusi)  na Afisa Huduma na Elimu Kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga, Semeni Selemani Mbeshi ( wa kwanza kushoto) wakikabidhi vyakula katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto  Manispaa ya Shinyanga Mkoani Shinyanga

Meneja Msaidizi Huduma kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga Estomih Mossi (kushoto) akimkabidhi Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Joseph Swalala ,Tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 10,000 katika Hospitali ya Wilaya ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Kishapu
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi Tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 10,000 katika Hospitali ya Wilaya ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Kishapu na chakula katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto Mkoani Shinyanga ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Shukrani kwa Mlipa Kodi inayoongozwa na kauli mbiu ‘Kodi Yetu, Maendeleo Yetu, Tuwajibike’.
 
 
Misaada hiyo imekabidhiwa leo Jumatano Novemba 29,2023 na Meneja Msaidizi Huduma kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga Estomih Mossi akiwa ameambatana na Wafanyakazi wa TRA Mkoa wa Shinyanga.
 
Akizungumza wakati wa kukabidhi Tanki la kuhifadhia maji katika Hospitali ya Wilaya ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Kishapu, Mossi amesema TRA imetoa tanki hilo ikiwa ni sehemu ya shukrani kwa walipa kodi ili kupunguza changamoto ya vifaa vya kutunzia maji katika hospitali hiyo hususani katika Wodi ya Wazazi na kufulia.
Meneja Msaidizi Huduma kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga Estomih Mossi (kushoto) akizungumza wakati akikabidhi Tanki la kuhifadhia maji katika Hospitali ya Wilaya ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Kishapu
 
“Sisi TRA kila mwaka huwa tuna taratibu wa kurudisha shukrani kwa Walipa kodi kwa hiyo tunatenga wiki moja kwa mwaka kwa ajili ya kutoa shukrani kwa walipa kodi ambapo hiyo wiki inaambatana na elimu kwa walipa kodi , kutoa misaada mbalimbali na kutoa tuzo kwa wafanyabiashara waliolipa kodi vizuri kwa mwaka husika”,amesema.
 
Tumekuja Kishapu kwa ajili ya kutoa msaada wa Tanki moja la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 10,000/=. Tumetoa Tanki hili la kuhifadhia maji ili wagonjwa wanapokuja hapa waone kwamba hata wanapolipa kodi inarudi kuja kufanya maendeleo na kutoa huduma. Wanapoona hivyo waone umuhimu wa kulipa kodi”,ameeleza Mossi.
 
Katika hatua nyingine amehawamasisha wananchi kulipa kodi huku akisisitiza umuhimu wa wafanyabiashara kutoa risiti na wanunuzi wa bidhaa kudai risiti.
 
“Kwa TRA tuna Kampeni ya Tuwajibike ambayo inawagusa watu wote wakiwemo wafanyabiashara na wanunuzi wa bidhaa. Mfanyabiashara anapouza anatakiwa ahakikishe anatoa risiti na mtumiaji wa huduma na bidhaa anatakiwa adai risiti ili serikali ipate mapato ambayo yanafanya shughuli zote za maendeleo ikiwemo ujenzi wa hospitali, vituo vya afya, barabara, huduma za elimu n.k”,amesema.
Meneja Msaidizi Huduma kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga Estomih Mossi (aliyevaa koti jeusi)  na Afisa Huduma na Elimu Kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga, Semeni Selemani Mbeshi ( wa kwanza kushoto) wakikabidhi vyakula katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto.
 
Akiwa katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto ambayo sasa yana wahudumiwa 20, Mosi amesema wametoa msaada wa chakula ikiwemo mchele, sukari, unga na mafuta ya kupikia ili kutoa fadhila kwa jamii kwani kundi hilo la wazee ni muhimu halipaswi kusahaulika.
 
 
Akizungumza wakati wa kupokea Tanki la Maji, Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Joseph Swalala amesema tanki hilo la kuhifadhia maji litasaidia kupunguza changamoto ya upatikanaji wa maji katika hospitali ya Wilaya ya Dkt. Jakaya  Mrisho Kikwete Kishapu.
 
“Hii inatukumbusha wananchi kuona umuhimu wa kulipa kodi bila shuruti, kile tunachotoa kinarudi kwa wananchi kusaidia kushughuli za maendeleo”,amesema Swalala.
Wafanyakazi wa TRA Shinyanga 
 
Kwa upande wake, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Kishapu, Dkt. Mohamed Mkumbwa ameishukuru TRA kuwapatia tanki hilo la maji ambalo amesema litasaidia kupunguza adha ya upatikanaji wa maji hasa katika wodi ya Wazazi ambapo kwa kipindi cha miezi mitatu wanawake wajawazito zaidi ya 450 wanafika kujifungua katika hospitali hiyo.
 
 
Naye, Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto, Bi. Sophia Kang’ombe ameishukuru TRA kwa kuwapatia msaada chakula wazee huku akitaja baadhi ya changamoto zilizopo hapo kuwa ni upungufu wa vyumba ambapo wazee wanalazimika kulala wawili ndani ya chumba kimoja na ukosefu wa uzio kwenye makazi hayo.
 
 
Nao baadhi ya wazee akiwemo Katarina Maige na Juakali Mihangwa wameishukuru TRA kwa kuwapatia msaada huo na kuomba wadau mbalimbali wafike kwenye makazi hayo ili kutatua changamoto zinazowakabili.
 
ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Meneja Msaidizi Huduma kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga Estomih Mossi (kushoto) akizungumza wakati akimkabidhi Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Joseph Swalala ,Tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 10,000 katika Hospitali ya Wilaya ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Kishapu leo Jumatano Novemba 29,2023 katika hospitali hiyo iliyopo katika kata ya Kishapu Wilayani Kishapu. Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Wafanyakazi wa TRA Shinyanga na viongozi mbalimbali wakipiga picha wakati TRA ikikabidhi Tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 10,000 katika Hospitali ya Wilaya ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Kishapu
Wafanyakazi wa TRA Shinyanga wakipiga picha wakati TRA baada ya kukabidhi Tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 10,000 katika Hospitali ya Wilaya ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Kishapu
Meneja Msaidizi Huduma kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga Estomih Mossi akizungumza wakati akikabidhi Tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 10,000 katika Hospitali ya Wilaya ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Kishapu
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Kishapu, Dkt. Mohamed Mkumbwa akiishukuru TRA kuwapatia Tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 10,000 katika Hospitali hiyo.

 

Afisa Huduma na Elimu Kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga, Semeni Selemani Mbeshi (katikati) akiongoza kutamka kauli mbiu ya Maadhimisho ya Wiki ya Shukrani kwa Mlipa Kodi inayosema ‘Kodi Yetu, Maendeleo Yetu, Tuwajibike’.

 

Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Joseph Swalala akizungumza wakati TRA ikikabidhi Tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 10,000 katika Hospitali ya Wilaya ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Kishapu
Muonekano wa sehemu ya chakula kilichotolewa na TRA Mkoa wa Shinyanga katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto Mkoani Shinyanga
Meneja Msaidizi Huduma kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga Estomih Mossi akizungumza wakati akikabidhi chakula katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto  Manispaa ya Shinyanga Mkoani Shinyanga
Afisa Huduma na Elimu Kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga, Semeni Selemani Mbeshi akizungumza wakati TRA ikikabidhi vyakula katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto  Manispaa ya Shinyanga Mkoani Shinyanga
Meneja Msaidizi Huduma kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga Estomih Mossi (aliyevaa koti jeusi)  na Afisa Huduma na Elimu Kwa Mlipa Kodi TRA Mkoa wa Shinyanga, Semeni Selemani Mbeshi (wa kwanza kushoto) wakikabidhi vyakula katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto  Manispaa ya Shinyanga Mkoani Shinyanga
Mzee Juakali Mihangwa akitoa neno la shukrani wakati TRA Mkoa wa Shinyanga ikikabidhi chakula katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto  Manispaa ya Shinyanga Mkoani Shinyanga
Bi. Katarina Maige Juakali akitoa neno la shukrani wakati TRA Mkoa wa Shinyanga ikikabidhi chakula katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto  Manispaa ya Shinyanga Mkoani Shinyanga
Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto, Bi. Sophia Kang’ombe akitoa neno la shukrani wakati TRA Mkoa wa Shinyanga ikikabidhi chakula katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto  Manispaa ya Shinyanga Mkoani Shinyanga
Wafanyakazi wa TRA Mkoa wa Shinyanga wakipiga picha ya kumbukumbu na wazee katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto  Manispaa ya Shinyanga 
Wafanyakazi wa TRA Mkoa wa Shinyanga wakipiga picha ya kumbukumbu na wazee katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto  Manispaa ya Shinyanga 
Wafanyakazi wa TRA Mkoa wa Shinyanga wakipiga picha ya kumbukumbu katika Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto  Manispaa ya Shinyanga 

About the author

Alex Sonna