Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

millibahis giriş

betlivo

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casibom

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

timebet

betpas

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

onlyfans leaks

süratbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

onlyfans leak

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

casibom

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat giriş

sekabet güncel giriş

casinoroyal

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

pusulabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

goldenbahis

ngsbahis

betpuan

restbet

yakabet

betplay

Featured Kitaifa

TANZANIA YAISHUKURU TRADEMARK AFRICA

Written by mzalendo
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Pamoja wa Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA), katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam, ambapo Wajumbe hao wamejadili kwa pamoja fursa na changamoto za utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na TradeMark Afrika, ambayo inalenga kuwezesha na kuimarisha biashara katika nchi wanachama na namna ya utekelezaji wa Miradi hiyo pamoja na kuimarisha Miundombinu, Mifumo, Sheria za Biashara na Uwekezaji, hususan katika kipindi hiki cha utekelezaji wa Soko Huru la Afrika (AFCFTA).
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
 
Tanzania imeishukuru Taasisi ya Trademark Afrika (TMA) kwa mchango wao katika kuboresha mifumo mbalimbali inayochangia kuimarika kwa mazingira ya biashara uwekezaji nchini.
 
Shukrani hizo zimetolewa jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa inayosimamia utekelezaji wa miradi ya TMA nchini (National Oversight Committee -NOC), Dkt. Natu El-maamry Mwamba, wakati akifungua Mkutano wa Pamoja wa Wenyeviti wa NOC, Bodi ya Wakurugenzi wa TMA na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA).
 
Dkt. Mwamba alisema kuwa katika kipindi cha mwaka 2022/2023, Serikali imeshuhudia mageuzi makubwa ya kimifumo na kiutendaji kufuatia kukamilika kwa baadhi ya miradi ikiwemo mradi wa kusimika skana ya kupimia mizigo katika mpaka wa Tunduma, mradi wa mfumo wa kutoa vibali vya uwekezaji, na mfumo wa kutoa vibali kwa wafanyabiashara wa mifugo na bidhaa za mifugo, ambayo imeongeza ufanisi wa utoaji huduma.
 
Alisema kuwa kusimikwa kwa mfumo wa skana katika mpaka wa Tunduma, kumepunguza muda wa upimaji na uondoshaji mizigo kutoka wastani wa siku 5 hadi siku moja huku mradi wa dirisha moja la kielekroniki la uwekezaji umepunguza muda wa kupata vibali kwa wawekezaji na   kupunguza gharama za kupata vibali vya uwekezaji nchini.
 
Dkt. Mwamba aliyataja mafanikio mengine yanayotokana na uwekezaji wa Trademark Afrika kuwa ni kuimarika kwa upatikanaji wa masoko ya bidhaa za mbogamboga na maua kwa kuwaunganisha na masoko ya uhakika wakulima 964 ambao waliuza kilo milioni 2.1 zenye thamani za zaidi ya shilingi bilioni 3.6.
 
“Pia Trademark Africa, wameiwezesha Tanzania kupitia Taasisi ya TMX, kwa kujenga mfumo wa kimtandao unaowawezesha wakulima kuuza mazao yao ya kilimo na mifugo kwa faida kupitia mfumo huo na kuwawezesha wakulima kupata faida na Serikali kukusanya ruzuku” Alisema Dkt. Mwamba
 
Dkt. Mwamba alisema kuwa Tanzania imepitia upya na imeboresha mifumo yake ya kodi hatua iliyochangia kwa kiasi kikubwa kuboresha mazingira ya biashara na kuvutia uwekezaji na kutoa wito kwa wajumbe wa Mkutano huo, kuimarisha ushirikiano hususan katika eneo la kukuza biashara na kuboresha mazingira ya uwekezaji ili kuinua biashara, uchumi na maisha ya wananchi.
 
Kwa upande wake, Naibu Afisa Mtendaji Mkuu na Mkuu wa Program ya Trademark Africa, Bi. Allen Asiimwe, alisema kuwa katika muongo mmoja uliopita,  TMA imewekeza kiasi cha dola za Marekani bilioni 1.2 ikiwa ni jitihada za kuboresha uzalishaji, kuimarisha biashara na mazingira ya uwekezaji katika nchi wanachama.
 
Alisema kuwa jitihada hizo pamoja na za nchi wanachama bado jitihada kubwa zinahitajika kwa nchi wanachama kuboresha uuzaji wa bidhaa nje pamoja na kuimarisha mifumo ya kidigitali inayoweza kuchochea biashara na uwekezaji.
 
Aliwahakikishia wajumbe wa mkutano huo kwamba TMA itaendelea kuwekeza katika ujenzi wa miundombinu kwa nchi wanachama wake ambapo kwa Tanzania, pamoja na miradi mingine, Taasisi hiyo inatarajia kuwekeza katika ujenzi wa miundombinu ya Bandari ya Dar es Salaam ili kuongeza zaidi ufanisi wa Bandari hiyo muhimu kwa maendeleo ya nchi na ukanda mzima wa maziwa makuu.
 
Bi. Asiimwe alizungumzia pia umuhimu wa kukuza biashara kwa njia ya mtandao ambayo imeendelea kukua kwa kasi na kuwavutia vijana wengi zaidi wanaojipatia kipato kupitia njia hiyo jambo ambalo linaweza kuongeza mapato ya Serikali na kukuza pia kiwango cha ajira.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Pamoja wa Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA), katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam, ambapo Wajumbe hao wamejadili kwa pamoja fursa na changamoto za utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na TradeMark Afrika, ambayo inalenga kuwezesha na kuimarisha biashara katika nchi wanachama na namna ya utekelezaji wa Miradi hiyo pamoja na kuimarisha Miundombinu, Mifumo, Sheria za Biashara na Uwekezaji, hususan katika kipindi hiki cha utekelezaji wa Soko Huru la Afrika (AFCFTA).
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA), wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, wakati akifungua mkutano wa Pamoja wa Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA), katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam, ambapo Wajumbe hao wamejadili kwa pamoja fursa na changamoto za utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na TradeMark Afrika, ambayo inalenga kuwezesha na kuimarisha biashara katika nchi wanachama na namna ya utekelezaji wa Miradi hiyo na namna ya kuimarisha Miundombinu, Mifumo, Sheria za Biashara na Uwekezaji, hususan katika kipindi hiki cha utekelezaji wa Soko Huru la Afrika (AFCFTA).
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (Katikati), akifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, wakati akifungua Mkutano wa Pamoja wa Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA), katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam, ambapo Wajumbe hao wamejadili kwa pamoja fursa na changamoto za utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na TradeMark Afrika, ambayo inalenga kuwezesha na kuimarisha biashara katika nchi wanachama na namna ya utekelezaji wa Miradi hiyo na kuimarisha Miundombinu, Mifumo, Sheria za Biashara na Uwekezaji, hususan katika kipindi hiki cha utekelezaji wa Soko Huru la Afrika (AFCFTA).
Wajumbe wa Mkutano wa Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA), wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akifungua Mkutano wa Pamoja wa Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA), katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam, ambapo Wajumbe hao wamejadili kwa pamoja fursa na changamoto za utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na TradeMark Afrika, ambayo inalenga kuwezesha na kuimarisha biashara katika nchi wanachama na namna ya utekelezaji wa Miradi hiyo pamoja na kuimarisha Miundombinu, Mifumo, Sheria za Biashara na Uwekezaji, hususan katika kipindi hiki cha utekelezaji wa Soko Huru la Afrika (AFCFTA).
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Kushoto), akisalimiana na  Naibu Katibu Mkuu, Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayeshughulikia Masuala ya Forodha, Biashara na Fedha, Bi. Annette Mutaawe, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pamoja wa Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi na Washirika wa Maendeleo wa TradeMark Afrika (TMA), katika Hoteli ya Johari Rotana, jijini Dar es Salaam.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam)

About the author

mzalendo