Featured Kitaifa

DKT. BITEKO ATETA NA UONGOZI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA

Written by mzalendo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na Ujumbe kutoka Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati na Mkurugenzi Mkuu wa Bureau I, Idara ya Oganizesheni ya Kamati Kuu ya Chama cha CPC, Ndugu Mao Dingzhi ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 28 Novemba, 2023
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akipokea Kitabu maalum cha “The Governance of China” kutoka kwa Mjumbe wa Kamati na Mkurugenzi Mkuu wa Bureau I, Idara ya Oganizesheni ya Kamati Kuu ya Chama cha CPC, Ndugu Mao Dingzhi ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 28 Novemba, 2023

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati na Mkurugenzi Mkuu wa Bureau I, Idara ya Oganizesheni ya Kamati Kuu ya Chama cha CPC, Ndugu Mao Dingzhi ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 28 Novemba, 2023

About the author

mzalendo