Featured Kitaifa

KINANA AFUNGUA MAFUNZO YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM YA TAIFA

Written by mzalendo
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Abdulrahman Kinana amefungua Mafunzo (Semina) ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, ambapo Wajumbe Watafundishwa Mada Tofauti zinazohusu Uongozi na Maadili ili kuongeza Uwezo na Ufanisi kwa Viongozi kuwajibika kwa Chama na Serikali, Mafunzo yanafanyika Dar Es Salaam tarehe 28 Novemba 2023.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Wakifuatilia Mafunzo (Semina) ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, ambapo Wajumbe Watafundishwa Mada Tofauti zinazohusu Uongozi na Maadili ili kuongeza Uwezo na Ufanisi kwa Viongozi kuwajibika kwa Chama na Serikali, Mafunzo yanafanyika Dar Es Salaam tarehe 28 Novemba 2023.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Komred Abdulrahman Kinana Akifungua Mafunzo ya  (Semina) ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, ambapo Wajumbe Watafundishwa Mada Tofauti zinazohusu Uongozi na Maadili ili kuongeza Uwezo na Ufanisi kwa Viongozi kuwajibika kwa Chama na Serikali, Mafunzo yanafanyika Dar Es Salaam tarehe 28 Novemba 2023. (Picha na Fahadi Siraji / CCM )

About the author

mzalendo