Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA WATUMISHI WA WILAYA YA MBOZI

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa wilaya ya Mbozi  kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe

Baadhi ya viongozi na watumishi wa wilaya ya Mbozi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Novemba 24, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo