Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

DKT. MWIGULU AKIPONGEZA CHUO CHA MIPANGO KWA KUWAINUA WANANCHI KIUCHUMI.

Written by mzalendo

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo, kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akitunuku shahada wahitimu wa Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini duru ya kwanza Kampasi kuu ya Dodoma katika hafla ya mahafali ya 37 ya chuo hicho, jijini Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Hozen Mayaya.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo, (mwenye joho jekundu), akiwa katika maandamano wakati wa mahafali ya 37 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini duru ya kwanza Kampasi kuu ya Dodoma, jijini Dodoma, kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb). Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Hozen Mayaya. Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Hozen Mayaya na kushoto ni Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Uongoziw a chuo hicho Dkt. Remidius Ruhinduka.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na MIpango Bi. Jenifa Omolo, kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati akihutubia hadhira wakati wa hafla ya mahafali ya 37 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini duru ya kwanza Kampasi kuu ya Dodoma, jijini Dodoma.

Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Dkt. Remidius Ruhinduka, akizungumza wakati wa hafla ya mahafali ya 37 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini duru ya kwanza Kampasi kuu ya Dodoma, jijini Dodoma.

Baadhi ya wahitimu wa kada mbalimbali wakiwa katika hafla ya mahafali ya 37 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini duru ya kwanza Kampasi kuu ya Dodoma, jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo (mwenye joho jekundu) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wahadhili wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini baada ya kuhitimisha hafla ya mahafali ya 37 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini duru ya kwanza Kampasi kuu ya Dodoma, jijini Dodoma. 

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Jenifa Omolo (wa pili kulia) akiangalia maonesho ya bidhaa zinazotengenezwa na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo Vijijini Kampasi ya Dodoma,wakati mmoja wa wanafunzi alipokuwa akitoa ufafanuzi  wakati alipotembelea maonesho ya wanafunzi kabla ya kufungua hafla ya mahafali 37 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini duru ya kwanza Kampasi kuu ya Dodoma, jijini Dodoma.

………………………… 

Na. Ramadhani Kissimba na Saidina Msangi, WF, Dodoma.

 Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amekipongeza Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) kwa kuwainua wananchi kiuchumi kupitia Kituo cha Ujasiriamali na Ubunifu cha Chuo hicho (Mipango Enterprenurship and Innovation Centre – MEI), pamoja na miradi inayoendeshwa na wabia wa maendeleo wakiwemo Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).

 Akizungumza kwa niaba ya Mhe. Waziri wa Fedha katika mahafali ya 37 ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini duru ya kwanza Kampasi Kuu – Dodoma, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo, amekitaka Chuo hicho kuendelea kutilia mkazo mawazo ya kijasiriamali na ubunifu ya wanafunzi kwani kwa kufanya hivyo watakuwa wanaunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuwawezesha vijana kushiriki kwenye mapinduzi makubwa ya kiuchumi.

 ‘Kwa namna ya kipekee ninakupongeza Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo na Baraza lako la Uongozi  kwa mafanikio ambayo Chuo imeyapata. Mmetoa mchango mkubwa wa kuwainua wananchi kiuchumi kupitia Kituo chenu cha Ujasiriamali na Ubunifu (Mipango Enterprenurship and Innovation Centre – MEI)’’. Alisema Bi. Omolo

 Aidha, Bi. Omolo alisema kuwa Serikali imeendelea kuwapunguzia mzigo wazazi wa wanafunzi hasa kwenye suala la kupata elimu hapa nchini kwa kuondoa ada kuanzia shule ya awali hadi kidato cha sita, kuongeza bajeti ya Mikopo ya elimu ya juu kila mwaka.

‘‘Kwa mwaka wa fedha 2023/24 Serikali imetenga jumla ya shilingi bilioni 731 ikilinganishwa na shilingi bilioni 570 zilizotengwa mwaka wa fedha 2022/23 na Kuanzisha Mikopo ya Elimu ya Stashahada ambapo kwa mwaka wa masomo 2023/24, Serikali imetenga jumla ya shilingi bilioni 48 kwa ajili ya kuwakopesha wanafunzi 8,000 wa ngazi ya Stashahada katika fani mbalimbali zikiwemo za Afya na Sayansi Shirikishi’’alisema Bi. Omolo.

 Aliongeza kuwa pamoja na jitihada hizo Serikali pia haijawaacha nyuma wahitimu wa ngazi nyingine pamoja na vijana hapa nchini kwani imechukua hatua mbalimbali katika kuwatengenezea mazingira mazuri ya kujiajiri ikiwemo kuanzisha Programu ya Jenga Kesho iliyo bora (Building Better Tomorrow -BBT), programu ambayo inalenga kuwafungamanisha vijana wasomi na wenzao wengine kwenye kilimo biashara kwa kulima mazao mbalimbali ya kimkakati.

 Awali, Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Profesa Hozen Mayaya alisema Chuo Kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) iliandaa Miongozo ya Kufundishia kuhusu miradi inayokopesheka “Bankable Projects” na vyombo maalum vya uendeshaji biashara za taasisi (Special Purpose Vehicle – SPV) kwa Halmashauri zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Halmashauri 13 za Tanzania Bara.

 Profesa Mayaya aliongeza kuwa Chuo kilifanya tathmini ya Mkakati wa Kugharamia Utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Taifa kwa kushirikina na Wizara ya Fedha kwa Kukusanya takwimu na uandishi wa ripoti kuhusu tathmini ya Mikopo kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu itolewayo na Halmashauri hapa Nchini.

 Akimkaribisha Mgeni Rasmi katika Mahafali hayo, Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Dkt. Remidius Ruhinduka, alisema Chuo cha Mipango kikiwa ni Chuo pekee hapa nchini chenye jukumu la kuandaa watalaamu wa masuala ya mipango ya maendeleo kitaendelea kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais kwa kuendelea kufanya kazi kwa bidii, maarifa na weledi wa hali ya juu.

 Dkt. Ruhinduka aliongeza kuwa Chuo kitaendelea kutekeleza majukumu yake kwa kufuata Sheria, Taratibu, Kanuni na Miongozo mbalimbali inayotolewa na Serikali mara kwa mara na kuendelea kutoa wahitimu mahiri na wenye kutumia weledi katika utekelezaji wa majukumu yao.

 Katika mahafali ya 37 ya Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) wahitimu 6,362 ambapo wanaume ni 2,783 na wanawake ni 3,579 wametunikiwa Astashahada, Stashahada, Shahada ya kwanza, Stashahada ya uzamili na Shahada ya uzamili.

About the author

mzalendo