Uncategorized

UWT YAMPONGEZA RAIS DK. MWINYI KWA UONGOZI WAKE WA MIAKA MITATU VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN WILAYA YA MJINI UNGUJA

Written by mzalendo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar leo katika hafla maalum ya kupongezwa na Umoja wa Wanawake wa  CCM  Tanzania kwa kutimiza miaka mitatu ya Uongozi wake

Viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi,Wanachama na  Wananchi wakiwa katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar   katika sherehe maalum ya kupongezwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi    kwa kutimiza miaka mitatu ya Uongozi wake,iliyofanyika leo ambapo imeandaliwa  na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania .

Akina mama wa UWT wakionesha Picha za DK.Mwinyi zinazotoa ujumbe “3 ya MAFANIKIO  NEENA ZIENDELEE “wakati wa sherehe maalum ya kupongezwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi    kwa kutimiza miaka mitatu ya Uongozi wake,iliyofanyika leo ambapo imeandaliwa  na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania .

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM Tanzania Mhe.Merry Chatanda akisalimia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib pamoja na Viongozi wengine alipowasili viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar katika shere maalum iliyoandaliwa leo na Jumuiya hiyo kwa jaili ya kumpongeza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dk.Hussein Ali Mwinyi   kwa kutimiza miaka mitatu ya Uongozi wake.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika sherehe maalum za kupoongewa kwa Kutimiza miaka mitatu ya Uongozi wake,zilizofanyika leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar kwa kuandaliwa na  Jumuiya ya Wanawake wa CCM Tanzania Chi na Uongozi wa Mwenyekiti wake Mhe.Merry Chatanda(wa tatu kushoto)

 Makamo Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe.Abdulrahmani Kinana (kulia)  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) na Mke wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Sala Kikwete wakiwa katika sherehe maalum za kupoongewa kwa Kutimiza miaka mitatu ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dk.Hussein Ali Mwinyi,zilizofanyika leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar ambazo zimeandaliwa na  Jumuiya ya Wanawake wa CCM Tanzania .

Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakifurahia shamra shamra za sherehe za kupongezwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dk.Hussein Ali Mwinyi,zilizofanyika leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar ambazo zimeandaliwa na  Jumuiya ya Wanawake wa CCM Tanzania kwa kutimiza miaka mitatu ya Uongozi wake .

Vikundi mbali mbali vya Wasanii Vikitoa burudani wakati wa sherehe za kupongezwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dk.Hussein Ali Mwinyi,zilizofanyika leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar ambazo zimeandaliwa na  Jumuiya ya Wanawake wa CCM Tanzania kwa kutimiza miaka mitatu ya Uongozi wake .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akikabidhi mfanno wa Cheki ya Fedha tasilimu Millioni Sabiini na Tano ,zilizotolewa Benki ya CRDB kwa ajili ya uwezeshaji wa Vikundi 17 vya Wanawake Zanzibar  katika sherehe maalum za kupoongewa kwa Kutimiza miaka mitatu ya Uongozi wake,zilizofanyika leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar kwa kuandaliwa na  Jumuiya ya Wanawake wa CCM Tanzania.

Vijana wa Jumuiya wa UVCCM wakishangilia  katika sherehe maalum za kupoongewa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Kutimiza miaka mitatu ya Uongozi wake,zilizofanyika leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar kwa kuandaliwa na  Jumuiya ya Wanawake wa CCM Tanzania.

Wazee akina mama hawako nyuma kushirikiana na Vijana kusherehekea kupoongewa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Kutimiza miaka mitatu ya Uongozi wake,zilizofanyika leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar kwa kuandaliwa na  Jumuiya ya Wanawake wa CCM Tanzania.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika mkutano maalum wa kupongezwa kwa kutimiza miaka mitatu ya Uongozi wake leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar kwa kuandaliwa na  Jumuiya ya Wanawake wa CCM Tanzania.

Picha na Ikulu

About the author

mzalendo