slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

noktabet, noktabet giriş

betgar, betgar giriş

betorbet, betorbet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

holiganbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

capitolbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

cratosroyalbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

perabet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

madridbet

holiganbet giriş

jojobet giriş

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

deneme bonusu

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

kulisbet, kulisbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

royalbet

Goldenbahis

deneme bonusu veren siteler

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

vdcasino

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet güncel giriş

Featured Kitaifa

MBUNGE MTATURU AIKABA SERIKALI UDHAIFU WA MANUNUZI YA UMMA

Written by mzalendo

MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameiomba serikali kuwachukulia hatua wote waliotajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG),ili kukisafisha Chama Cha Mapinduzi (CCM),na kumsafisha Rais Samia Suluhu Hassan ambaye halali usiku na mchana akitafuta fedha kwa ajili ya wananchi.

Mtaturu ametoa ombi hilo Novemba 3,2023,bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC),kamati ya hesabu za serikali za mitaa (LAAC),na kamati ya hesabu za serikali (PAC),kuhusu ripoti ya CAG.

“Ombi langu wote waliohusika wachukuliwe hatua ili kuisafisha CCM na Mh Rais ambaye halali usiku na mchana akitafuta fedha kwa ajili ya wananchi maskini ,serikali ichukue hatua na maazimio ya kamati pia yazingatiwe na wachukuliwe hatua kwa kuifanya Tanzania kuwa sehemu salama ya kuishi,”.amesema.

Amesema kipimo cha serikali inayozingatia utawala bora vipo vingi lakini viwili ndio nguzo yake ambacho cha kwanza ni kufuata demokrasia ,kufuata sheria kwenye kuongoza watu kwa maana ya kutoa haki kwa wananchi wake ikiwemo huduma.

“Haya mambo makubwa matatu ndio yanakuwa yanaangaliwa katika vipimo,la pili ni kuzingatia matumizi bora ya fedha na rasilimali za umma,haya mambo mawili ndio yanabeba sura ya utawala bora,kwa hiyo kwenye hili tumpongeze sana Mh Rais kwa dhamira yake njema,”.amesema Mtaturu.

Amesema kutokana vitendo hivyo maneno yake kwamba anatamani nchi iongozwe kwa utawala bora kwa maana ya kuwa na demokrasia na anataka watu waongozwe pamoja na kufuata sheria ili wananchi wapate haki zao.

“Tumekuwa tukimuona waziwazi kwenye hotuba zake mbalimbali,katika utawala duniani unaongozwa na aina mbili viongozi wa kisiasa na watumishi wa umma,kwa hiyo watu hawa wawili ndio wanasaidiana kwa pamoja kuongoza nchi au kuongoza eneo lolote,

“Kama ambavyo tunaona wote Mh Rais Samia anakemea,wabunge tunasimama hapa tunakemea lakini hata madiwani kwenye halmashauri zetu wanakemea kwa maana uongozi wa kisiasa wanayo dhamira njema ya kusaidia nchi hii kwa sababu tunaonekana kila mahali,”.ameeleza Mtaturu.

Amesema kwenye taarifa ya PIC kupitia ripoti ya CAG,Bohari ya Dawa (MSD),imeonekana kuna upotevu au kuna madeni yanayokadiriwa kuwa Bil 375 kutokana na kutolipwa madeni.

” CAG jicho lake limeona,lakini kama haitoshi hii inaathiri mtiririko wa utoaji wa dawa, leo tunalalamika vituo vya utoaji wa dawa kwa maana utoaji wa huduma katika halmashauri zetu hakuna dawa hii ni kwa sababu ya mkwamo na halmashauri zetu zimekuwa zikiomba fedha zikiomba dawa au kupeleka maombi ya kununuliwa dawa bado haziletwi kwa sababu kuna deni kubwa lipo pale MSD wanadaiwa,

“Hii maana yake tunasababisha tatizo la huduma kwa wananchi wetu kwa sababu tu kuna baadhi ya watu hawajatimiza majukumu yao hili ni tatizo kubwa na CAG ametuonyesha kwamba kuna tatizo mahali,tujiulize kuna wananchi wangapi wanakufa bila ya dawa vijijini ni namna gani serikali inalaumiwa huko vijijini kwa sababu ya kikwazo hiki,”ameongeza.

Mtaturu amesema eneo la MSD kwa miaka mitatu mfululizo 2019/2020,2020/2021 na 2021/2022, kuna jumla ya dawa aina ya 2,540 zenye thamani ya Sh Bilioni 295 .76 zilipokelewa zikiwa zimebakiza miaka miwili kuisha muda wake lakini kama haitoshi katika hizo dawa zenye thamani ya Sh Bil 28.4 zilikutwa muda wake umeshaisha.

“Mh Mwenyekiti hapa unajiuliza hivi hakuna wataalam ambao wanaenda kutambua dawa hizo kabla hazijaletwa nchini,je wakati wanakagua walikuwa wamefunga macho,je wakati wanakagua vyeti vyao vilikuwa vimefungiwa kabatini kwamba sio wasomi,au watu hao walikuwa hawana roho ya Mungu,Mh Mwenyekiti hawa sio wazalendo wa nchi hii watu hawa ni wageni kutoka nje ya nchi ambao wanawaletea wananchi watanzania dawa zilizoisha muda wake ili wanywe wafe kwa kuwa dawa ikiisha muda wake inakuwa sumu,”ameeleza.

Amesema kuteketeza dawa hizo ni kuteketeza fedha za walipa kodi ambao baadhi wanashurutishwa hawalipi kwa
kupenda wenyewe.

” Hawa watumishi wapo wanalipwa mshahara na marupurupu makubwa kabisa kwa kweli jambo hili haliwezi kuvumilika ,nchi yetu inaenda kuwa “Dumping Area”, jambo hili haliwezi kupitia kwenye macho ya wabunge makini kama hawa wa CCM ambao wanaweza wakaacha jambo hili liendelee,hii ni hatari kwa afya lakini ni hatari kwa mazingira,” amebainisha.

Mbali na MSD Mtaturu ameitaja Wakala wa Manunuzi ya Umma aliyepewa jukumu la kununua magari ya serikali lakini ripoti ya CAG inaonyesha kuna baadhi ya maeneo wamekuta magari hayajanunuliwa na wananchi waliingia taharuki kwamba kuna gari limelipiwa hazijaja nchini.

“Hali hiyo inawafanya wananchi waone tumepigwa kumbe taasisi hii inachelewesha kuleta magari nchini wakati fedha zimeshalipwa na halmashauri zetu,mfano gari za taasisi 14 zenye thamani ya Sh Bilioni 4.2 zilinunuliwa na zilishalipiwa lakini hazijaja nchini maana yake ni kwamba kuna urasimu mkubwa,

“Mkataba unasema utaleta magari ndani ya miezi minne au sita lakini tumeendelea kuletewa gari baada ya miaka miwili mbele,Mh Mwenyekiti jambo hili haliwezi kuvumiliwa kwa sababu wakala huyu amekuwa ana jambo baya,wakati ukinunua gari Japan unapewa ofa ya kufanyiwa service Km 70,000 ila ukinunua maeneo mengine kama wanavyofanya GPSA hiyo ofa hupati hivyo serikali unaipa hasara,”.amebainisha.

About the author

mzalendo