Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara na washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita Yanga SC wanawania tuzo ya klabu bora kwa wanaume kutoka CAF kwa mwaka 2023.

Tuzo hizo zitatolewa Desemba 11 nchini Morocco

Previous articleDKT.DUGANGE:UTOAJI WA TAARIFA KWA WANANCHI UWE ENDELEVU
Next articleWAUGUZI WATUHUMIWA KUOMBA RUSHWA KWA MAMA WAJAWAZITO.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here