slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

noktabet, noktabet giriş

betgar, betgar giriş

betorbet, betorbet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

holiganbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

capitolbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

cratosroyalbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

perabet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

madridbet

holiganbet giriş

jojobet giriş

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

deneme bonusu

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

kulisbet, kulisbet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

royalbet

Goldenbahis

deneme bonusu veren siteler

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

vdcasino

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet güncel giriş

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AMLETA RAIS WA UJERUMANI NCHINI TANZANIA

Written by mzalendo
 
 
#Ni baada ya ziara za kimkakati India, Zambia
 
#Ujerumani yavutiwa na utawala bora wa Tanzania chini ya Rais Samia
 
#Ushindi wa Tulia Ackson IPU ni matokeo ya diplomasia ya Rais Samia
 
Na Mwandishi Wetu
 
Ujio wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, nchini Tanzania na ujumbe wa wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa kutoka Ujerumani ni ishara nyingine ya mafanikio makubwa ya Diplomasia ya Uchumi tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani.

 
Rais Steinmeier yuko nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku tatu, baada ya Rais Samia kufanya ziara za kitaifa kwenye nchi za India na Zambia.
 
Katika ziara hizo za nje zilizokuwa na mafanikio makubwa, Rais Samia aliambatana na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Tanzania kwa lengo la kuvutia mitaji, biashara na uwekezaji zaidi nchini Tanzania.
 
Akiongea Ikulu, Dar es Salaam, leo baada ya mazungumzo na Rais Steinmeier, Rais Samia amesema kuwa ziara hiyo ya kiongozi mkubwa wa Ujerumani itasaidia kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo mbili.
 
“Leo nchi yetu imepiga hatua nyingine ya historia katika uhusiano wake na Ujerumani, tumepata heshima ya kumkaribisha Mhe. Dkt. Frank-Walter Steinmeier, Rais wa Shirikisho la Ujerumani hapa Ikulu, Dar es Salaam, na hapa nchini Tanzania,” Rais Samia alisema.
 
Katika mazungumzo ya viongozi hao wawili, Rais wa Ujerumani aliipongeza Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia kwa utawala bora na kuahidi kuleta wawekezaji kutoka Ujerumani kwa wingi nchini Tanzania kutokana na siasa zake zenye utulivu.
 
“Tumezungumza na Mheshimiwa Rais (Rais wa Shirikisho la Ujerumani Dkt. Frank Walter Steinmeier) ametupongeza kwamba Tanzania tunaonekana tumetulia kwenye utawala wa sheria na utawala bora na ndio maana wamevutika wafanyabiashara wa Ujerumani kuja Tanzania kuangalia fursa za uwekezaji,” Rais Samia alisema
 
Tanzania huagiza bidhaa za viwandani zenye thamani ya wastani ya zaidi ya Shilingi bilioni 600 kwa mwaka kutoka Ujerumani wakati inauza bidhaa kwa Ujerumani zenye thamani ya wastani ya zaidi ya Shilingi bilioni 100 kwa mwaka.
 
Tanzania huuza mazao ya kilimo kama kahawa, pamba, tumbaku, asali, nta, samaki na madini ya vito kwa Ujerumani. 
 
Rais Samia na mgeni wake wamezungumzia haja ya kuongeza biashara na uwekezaji zaidi baina ya Tanzania na Ujerumani.
 
Tangu alipoingia madarakani Machi 2021, Rais Samia ameweka jitihada kubwa kwenye masuala ya diplomasia na mahusiano ya kimataifa na kuifanya Tanzania ing’are kimataifa.
 
Rais Samia amevutia viongozi wengi wakubwa duniani, ikiwemo Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, kufanya ziara nchini Tanzania.
 
Rais Samia pia amealikwa kwenye ziara za kitaifa kwenye nchi nyingi na kuhudhuria mikutano mikubwa ya kimataifa ambayo ameitumia kwa ufanisi kusukuma ajenda ya Diplomasia ya Uchumi.
 
Hivi karibuni, Rais Samia ameongoza kampeni ya kimataifa kuhakikisha kuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, anachaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na hivyo kuleta heshima kubwa kwa Tanzania.
 
Aliporejea nchini kutoka kwenye uchaguzi wa IPU, Dkt. Ackson amemshukuru Rais Samia Kwa kumpigia kampeni na kuhakikisha anakuwa mshindi katika uchaguzi alishinda hivi karibuni.
 
“Nitumie nafasi hii kuishukuru sana Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mhe.Rais Samia Suluhu Hassan ambae aliweka nguvu nyingi sana kwanza nafasi hii hauwezi kugombea kama Serikali yako haijakuruhusu kugombea nafasi hii ambapo amefanya kampeni kubwa sana na kuniambia kwasababu ni mambo ya kibungr,” alisema Dkt.Tulia.

About the author

mzalendo